Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,837
Daah umentamanisha wallah vileWeee! Hiyo ni moja ya kitu sintakuja kufanya maishani. Tena kama nimekosa lotions za Nivea au Vaseline (ndo nnazo ziamini kutoniharibu ngozi) ni bora nitumie mafuta yao ya mgando au kupaka Olive oil. Yaani naupenda weusi wangu mpaka najitongozaga mwenyewe sometimes.