BULICHEKA 2o2o
Member
- Oct 20, 2019
- 61
- 76
Nyani haoni kundule. Yule kutia nia tu na kadi mmeichukua , huko mnakoyaweza ni lini mwenyekiti alishindanishwa na mwingine? Au umeshasahau kuwa kuna makada waliambiwa warudi kwao?Chadema ndani hamuyawezi sembuse bunge ? Mbunge tu wa chadema kuhudhuria vikao vya bunge mnamfukuza uanachama.mtu akitaka tu kugombea cheo Cha uenyekiti chadema taifa nongwa hayo ya malema mtayaweza ikiwa huko ndani tu chamani kwenu hamkuwezi
Wenzenu akina malema ndani ya chama Chao wanakuweza kabla kwenda bungeni