Hii ndio aina ya Bunge tulitakalo, tukilipata nchi itasonga mbele

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,707
71,018

Najaribu kuona Julius Malema anavyoruhusiwa kupambana bungeni tena mbele ya Rais na hoja zinabishaniwa kwa hoja napata raha sana.

Je, hali kama hii ingetokea katika Bunge la TZ au tuseme Bunge la Ndugai ingekuwaje? Uhuru huu wa mawazo ungeruhusiwa nchi yetu ingefika wapi kimaendeleo?

Tunakwama sana mambo mengi na sababu ni kuwa kuna miungu watu ambao hata wakiharibu hawahojiwi hata kusemwa tuu nayo ni hatari kwani DPP na polisi wanaweza kutumiwa kukupa mateso na wengine wakajikunyata.

2020 ndio nafasi pekee ya kubadili mambo na kutoa Uhuru mkubwa kwa Bunge baada ya kuhakikisha Tumehuru ya uchaguzi inaundwa na watu wakatumia haki yao na ikaheshimiwa.
 
Vipi la Sugu kugeuka baunsa wa Mbowe amamu ya nne?

Tunataka chama cha upinzani cha kizalendo km Nccr mageuzi Sio hawa wahuni wa ufipa
 
Najaribu kuona Julius Malema anavyoruhusiwa kupambana bungeni tena mbele ya Rais na hoja zinabishaniwa kwa hoja napata raha sana.

Je, hali kama hii ingetokea katika Bunge la TZ au tuseme Bunge la Ndugai ingekuwaje? Uhuru huu wa mawazo ungeruhusiwa nchi yetu ingefika wapi kimaendeleo?

Tunakwama sana mambo mengi na sababu ni kuwa kuna miungu watu ambao hata wakiharibu hawahojiwi hata kusemwa tuu nayo ni hatari kwani DPP na polisi wanaweza kutumiwa kukupa mateso na wengine wakajikunyata.

2020 ndio nafasi pekee ya kubadili mambo na kutoa Uhuru mkubwa kwa Bunge baada ya kuhakikisha Tumehuru ya uchaguzi inaundwa na watu wakatumia haki yao na ikaheshimiwa.

Nchi zote zenye uhuru wa kujieleza,uhuru wa kuhuru kuzungumza unachotaka,zimepita hatua kimaendeleo,kimawazo na fikra za raia wa Nchi husika

Hapa kwetu shida n tabu kubwa iko kwenye chama tawala,wanataka mawazo yao ndionyawe mawazo ya kusikilizwa na kuheshimiwa

Chama tawala kinafanya hivyo kuwafunga Watanzania macho ili kipate kuwatawala milele..
 
Chadema ndani hamuyawezi sembuse bunge ? Mbunge tu wa chadema kuhudhuria vikao vya bunge mnamfukuza uanachama.mtu akitaka tu kugombea cheo Cha uenyekiti chadema taifa nongwa hayo ya malema mtayaweza ikiwa huko ndani tu chamani kwenu hamkuwezi

Wenzenu akina malema ndani ya chama Chao wanakuweza kabla kwenda bungeni
 
Najaribu kuona Julius Malema anavyoruhusiwa kupambana bungeni tena mbele ya Rais na hoja zinabishaniwa kwa hoja napata raha sana.

Je, hali kama hii ingetokea katika Bunge la TZ au tuseme Bunge la Ndugai ingekuwaje? Uhuru huu wa mawazo ungeruhusiwa nchi yetu ingefika wapi kimaendeleo?

2020 ndio nafasi pekee ya kubadili mambo na kutoa Uhuru mkubwa kwa Bunge baada ya kuhakikisha Tumehuru ya uchaguzi inaundwa na watu wakatumia haki yao na ikaheshimiwa.

Naunga mkono hoja

Je, Bunge letu ni Bunge Butu?. Angalia Bunge la Uingereza lenye meno linavyong'ata Serikali. Je, Kuna ubaya tukiiga? - JamiiForums

Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? - JamiiForums

Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? - JamiiForums

P
 
Ccm wamelifanya Bunge kuwa sehemu ya kugonga meza tu

Heshima ya Bunge letu imeanguka chini kabisa kwa sababu ya Mgogo mmoja
 
Chadema ndani hamuyawezi sembuse bunge ? Mbunge tu wa chadema kuhudhuria vikao vya bunge mnamfukuza uanachama.mtu akitaka tu kugombea cheo Cha uenyekiti chadema taifa nongwa hayo ya malema mtayaweza ikiwa huko ndani tu chamani kwenu hamkuwezi

Wenzenu akina malema ndani ya chama Chao wanakuweza kabla kwenda bungeni
Chama cha siasa kina katiba yake, utamaduni wake na taratibu zake. Kabla ya kujiunga kwa hiari lazima ukubaliane hutaki nenda kingine.
Lakini Bunge la nchi linataratibu zilizokubaliwa na nchi nzima sio huo upoloto wa Ndugai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taratibu zenu zinakwaza midiwani, wabunge na wanachama wenu tofauti na chama Cha akina malema
 
Hiyo Sanaa inayotumika hata mtoto haimuingii. Hao madiwani na wabunge mbona wakikwazwa hawaendi chama kingine chenye mrengo kama walipotoka kupinga udhalimu wa ccm Bali wanaenda huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom