Bwesheeeee sisi tunajenga Sanamu la Mwenda zakeWakati tunaangaika na Reli wenzetu kwenye mwaka wa tatu huu SGR yao ishaanza kazi na inabeba mzigo kweli kweli kutoka Mombasa kwenda Nairobi.
Wakati tunabishana na bandari ya Bagamoyo wenzetu Kenya tayari bandari ya lamu walishazindua na itakuwa inabeba mzigo wa Somalia, Sudani, Ethiopia na nchi zingine sisi ndio kwanza tunabishana juu ya mradi ufanyike au usifanyike!
Wakati tunafunga Maduka ya kubadilishia pesa wenzetu Kenya Ukiwa Nairobi hata SAA 9 usiku unabadilisha pesa yako maduka ya kubadilisha pesa yamejaa kila konda mtaani na kwenye mahoteri.
Wakati tunajenga barabara kubwa ya kwenda kibaha wenzetu walishajenga Thika highway miaka 10 iliyopita tena Thika highway haina kizuizi cha taa hata kimoja yaani ukitoka umetoka mpaka unafika unakoenda ila sisi angalia tunavyopanua ile barabara kwenda kibaha kama kweli itaruhusu movement ya magari kutoka mjini bila kusimama mpaka kibaha na hiyo stand ya Magufuli pale mbezi.
Angalia madaraja yaliyojengwa halafu yanawekewa taa hii kitu haipo unapojenga fly over duniani kote unatakiwa kuweka njia za automatic rotation ya magari yote kutoka sehemu zote! Madaraja yote yanayojengwa kwenye makutano Dar yanahitaji marekebisho makubwa.
Juzi tulibishana kuhusu Mahindi kupelekwa Kenya wenzetu wakaja na wazo la kujenga mradi mkubwa wa umwagiliaji ambao utaweza kulisha Kenya na kuuza nje chakula na usishangae wakaanza kutuuzia tena mahindi kwa bei nafuu kuliko sisi tunavyowauzia.
Nchi yetu ina shida sana kwenye kufanya project kubwa kubwa
Fursa chadema ni chuo Kazi ccmHao si ndiyo wazee wa fursa, unaamin kabisa wanapotoka Vyama pinzani kuingia CCM wanakua na nia ya dhati ya kiuongozi,?!!
Tatizo ni CCM, ukiingia kule n fursa, kaz yko n kumsifu na kumsujudia Raisi il Tumbo linenepe!
Ngoja mizizi ya wanufaika wake ipite kwanza kama utamsikia tenanaona bado unaumia sana japokua hayupo endelea ivo ivo maaana utamskia sana kla sku
Kenya imejaa ufisadi wa kutisha,
Bandari siyo yao kwa miaka 100 ijayo pia SGR yao ni ya bei ya juu kuliko SGR ya Tanzania ambayo ni ya umeme!!
Wewe ni mpuzi hakuna kiongozi yeyote nchi hii mwenye uthubutu kiwango alicho kuwa nacho Magufuli nakwambia alijitahidi sana kusimamia na kufanya miradi kwa vile mmejaa unafiki na ubabaishaji hamlioni hilo.Nchi yetu inaongozwa na mijitu isiyoelewa chochote kuhusu kinachoendelea duniani hasa lile lisanamu la Chato lililotaka mpaka kujiongezea muda wa kukaa magogoni wakati lilokuwa likojijua linaishi kwa msaada wa betri ya mchina
Hao ni wanafiki hawana wajualo kazi yao kuropoka.Kikwete ndiye aliyejenga KIA?
Si hamtaki maendeleo ya vitu acha tundelee na maendeleo ya watu hata sgr isipoisha ni sawa tu.Wakati tunaangaika na Reli wenzetu kwenye mwaka wa tatu huu SGR yao ishaanza kazi na inabeba mzigo kweli kweli kutoka Mombasa kwenda Nairobi.
Wakati tunabishana na bandari ya Bagamoyo wenzetu Kenya tayari bandari ya lamu walishazindua na itakuwa inabeba mzigo wa Somalia, Sudani, Ethiopia na nchi zingine sisi ndio kwanza tunabishana juu ya mradi ufanyike au usifanyike!
Wakati tunafunga Maduka ya kubadilishia pesa wenzetu Kenya Ukiwa Nairobi hata SAA 9 usiku unabadilisha pesa yako maduka ya kubadilisha pesa yamejaa kila konda mtaani na kwenye mahoteli.
Wakati tunajenga barabara kubwa ya kwenda Kibaha wenzetu walishajenga Thika highway miaka 10 iliyopita tena Thika highway haina kizuizi cha taa hata kimoja yaani ukitoka umetoka mpaka unafika unakoenda ila sisi angalia tunavyopanua ile barabara kwenda Kibaha kama kweli itaruhusu movement ya magari kutoka mjini bila kusimama mpaka Kibaha na hiyo stand ya Magufuli pale Mbezi.
Angalia madaraja yaliyojengwa halafu yanawekewa taa hii kitu haipo unapojenga fly over duniani kote unatakiwa kuweka njia za automatic rotation ya magari yote kutoka sehemu zote! Madaraja yote yanayojengwa kwenye makutano Dar yanahitaji marekebisho makubwa.
Juzi tulibishana kuhusu Mahindi kupelekwa Kenya wenzetu wakaja na wazo la kujenga mradi mkubwa wa umwagiliaji ambao utaweza kulisha Kenya na kuuza nje chakula na usishangae wakaanza kutuuzia tena mahindi kwa bei nafuu kuliko sisi tunavyowauzia.
Nchi yetu ina shida sana kwenye kufanya project kubwa kubwa
Wewe juh kipindi Magufuli hajatawala nchii hii mlikuwa na maendeleo mno ya maana yaani Tanzania kutoendelea amesababisha Magufuli? Hata vituo vya afya tu vilikuwa vimewashinda pia shule za zamani zilikuwa magofu kaja Magufuli karekebisha kwa sehemu kubwa, Leo mko hapa mnabweka eti laana. Nikwambie laana ni pamoja na kutokuwa na uwezo wa kusimamia na kuthubutu kufanya kitu.Unabomolea watu nyumba wanaishi miaka kibao hata ujazaliwa,wanalia kwa uchungu wanawake na wajane.
Kwann laana isiwepo,unawanyima watu haki ya kuishi kwann laana isiwepo
Yuko wapi sasa huyo shujaa wenuWewe ni mpuzi hakuna kiongozi yeyote nchi hii mwenye uthubutu kiwango alicho kuwa nacho Magufuli nakwambia alijitahidi sana kusimamia na kufanya miradi kwa vile mmejaa unafiki na ubabaishaji hamlioni hilo.
Watakwambia Tzn tunawalisha EAC,hadi sasa mahindi yamedoda Zambia wamekuwa producer wakubwa,Kenya nk kwa hiyo soko hakuna.Angalia hiyo project yao ya umwagilijia View attachment 1842636View attachment 1842638View attachment 1842639View attachment 1842640
Acha upumbavu wewe,kwa hiyo Kenya haipati mapato pale? Mradi unaendeshwa kwa ubia na muwekezaji kwa uwiano wa kila mtu alichowekeza.Kenya imejaa ufisadi wa kutisha,
Bandari siyo yao kwa miaka 100 ijayo pia SGR yao ni ya bei ya juu kuliko SGR ya Tanzania ambayo ni ya umeme!!
Moja ya damaging factor kubwa Sana hiiInawezekana ujamaa umekomba akili zote za ubunifu
Moja ya watu wenye laana ni wewe mmoja wapo.Wakati tunaangaika na Reli wenzetu kwenye mwaka wa tatu huu SGR yao ishaanza kazi na inabeba mzigo kweli kweli kutoka Mombasa kwenda Nairobi.
Wakati tunabishana na bandari ya Bagamoyo wenzetu Kenya tayari bandari ya lamu walishazindua na itakuwa inabeba mzigo wa Somalia, Sudani, Ethiopia na nchi zingine sisi ndio kwanza tunabishana juu ya mradi ufanyike au usifanyike!
Wakati tunafunga Maduka ya kubadilishia pesa wenzetu Kenya Ukiwa Nairobi hata SAA 9 usiku unabadilisha pesa yako maduka ya kubadilisha pesa yamejaa kila konda mtaani na kwenye mahoteli.
Wakati tunajenga barabara kubwa ya kwenda Kibaha wenzetu walishajenga Thika highway miaka 10 iliyopita tena Thika highway haina kizuizi cha taa hata kimoja yaani ukitoka umetoka mpaka unafika unakoenda ila sisi angalia tunavyopanua ile barabara kwenda Kibaha kama kweli itaruhusu movement ya magari kutoka mjini bila kusimama mpaka Kibaha na hiyo stand ya Magufuli pale Mbezi.
Angalia madaraja yaliyojengwa halafu yanawekewa taa hii kitu haipo unapojenga fly over duniani kote unatakiwa kuweka njia za automatic rotation ya magari yote kutoka sehemu zote! Madaraja yote yanayojengwa kwenye makutano Dar yanahitaji marekebisho makubwa.
Juzi tulibishana kuhusu Mahindi kupelekwa Kenya wenzetu wakaja na wazo la kujenga mradi mkubwa wa umwagiliaji ambao utaweza kulisha Kenya na kuuza nje chakula na usishangae wakaanza kutuuzia tena mahindi kwa bei nafuu kuliko sisi tunavyowauzia.
Nchi yetu ina shida sana kwenye kufanya project kubwa kubwa
Hapa umenikuna, nilichotegemea pale Kijazi Bridge ni kuwepo mizunguko kama ifuatavyo:Angalia madaraja yaliyojengwa halafu yanawekewa taa hii kitu haipo unapojenga fly over duniani kote unatakiwa kuweka njia za automatic rotation ya magari yote kutoka sehemu zote! Madaraja yote yanayojengwa kwenye makutano Dar yanahitaji marekebisho makubwa.
Tumeshindwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza iliyo karibu na Serengeti kanda ya ziwa na magharibi na Mbeya kwa ajili ya selous kusini kisa kukosa mipango mikakati endelevu ya kuendeleza utalii.Angalia kwenye utalii pamoja na kujenga KIA international airport but bado watalii 80% wanakuja East Africa wanashukia Nairobi
Yaani tumeshindwa kutengeneza business plan ya jinsi gani watalii washuke moja kwa moja Tanzania?
Naomba serikali wanipe hii kazi Mimi nina uhakika ndani ya miaka 5 watalii wote watashika Hapa kwetu maana Nairobi hakuna vivutio vya watalii ila why washuke pale?
Picha tafadhaliWakati tunaangaika na Reli wenzetu kwenye mwaka wa tatu huu SGR yao ishaanza kazi na inabeba mzigo kweli kweli kutoka Mombasa kwenda Nairobi.
Wakati tunabishana na bandari ya Bagamoyo wenzetu Kenya tayari bandari ya lamu walishazindua na itakuwa inabeba mzigo wa Somalia, Sudani, Ethiopia na nchi zingine sisi ndio kwanza tunabishana juu ya mradi ufanyike au usifanyike!
Wakati tunafunga Maduka ya kubadilishia pesa wenzetu Kenya Ukiwa Nairobi hata SAA 9 usiku unabadilisha pesa yako maduka ya kubadilisha pesa yamejaa kila konda mtaani na kwenye mahoteli.
Wakati tunajenga barabara kubwa ya kwenda Kibaha wenzetu walishajenga Thika highway miaka 10 iliyopita tena Thika highway haina kizuizi cha taa hata kimoja yaani ukitoka umetoka mpaka unafika unakoenda ila sisi angalia tunavyopanua ile barabara kwenda Kibaha kama kweli itaruhusu movement ya magari kutoka mjini bila kusimama mpaka Kibaha na hiyo stand ya Magufuli pale Mbezi.
Angalia madaraja yaliyojengwa halafu yanawekewa taa hii kitu haipo unapojenga fly over duniani kote unatakiwa kuweka njia za automatic rotation ya magari yote kutoka sehemu zote! Madaraja yote yanayojengwa kwenye makutano Dar yanahitaji marekebisho makubwa.
Juzi tulibishana kuhusu Mahindi kupelekwa Kenya wenzetu wakaja na wazo la kujenga mradi mkubwa wa umwagiliaji ambao utaweza kulisha Kenya na kuuza nje chakula na usishangae wakaanza kutuuzia tena mahindi kwa bei nafuu kuliko sisi tunavyowauzia.
Nchi yetu ina shida sana kwenye kufanya project kubwa kubwa
Ngoja mizizi ya wanufaika wake ipite kwanza kama utamsikia tena