Hii nchi ngumu sana

Hii nchi ngumu sana

Wataalam wanasema ukiona mambo ya Serikali na Chama kama yanakukwaza jua fika upo kwenye maturity.
 
kwamba mtoto hana nafasi ya kumsaidia mzazi katika majukumu ya familia kwa namna yoyote ile hata kuosha Vyombo?

Guys mnahitaji kufikiria kwa kina sana, watoto nao wanaweza kufanya mambo makubwa katika uongozi hata kuwazidi waimba mapambio kina Lucas mwashambwa
Acha ujinga mkuu
 
Back
Top Bottom