[emoji1787][emoji1787]ikiwemo kuongoza nchi siokwamba mtoto hana nafasi ya kumsaidia mzazi katika majukumu ya familia kwa namna yoyote ile hata kuosha Vyombo?
Guys mnahitaji kufikiria kwa kina sana, watoto nao wanaweza kufanya mambo makubwa katika uongozi hata kuwazidi waimba mapambio kina Lucas mwashambwa
Hii nchi ukiwa serious unakufa mapema sana inabidi kila unachokiona kiwe kama komedi tu[emoji1787][emoji1787]ikiwemo kuongoza nchi sio
Tanzania ina mengiWao wenyewe wanalelewa
Ifike mahala muache kutetea ujingakwamba mtoto hana nafasi ya kumsaidia mzazi katika majukumu ya familia kwa namna yoyote ile hata kuosha Vyombo?
Guys mnahitaji kufikiria kwa kina sana, watoto nao wanaweza kufanya mambo makubwa katika uongozi hata kuwazidi waimba mapambio kina Lucas mwashambwa
DuhChipukizi wa miaka Saba anaahidi kumsaidia raisi katika shughuli zake za kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi
🤣🤣🤣🤣Hii nchi ukiwa serious unakufa mapema sana inabidi kila unachokiona kiwe kama komedi tu
anaweza kuwalisha wazazi wake?Kuna mtoto Ana miaka 13 Ila yupo smart Sana kichwani kuwazidi watu wazima wengi Sana.
Akijibu nistueanaweza kuwalisha wazazi wake?
Kwamba wanaweza kuja na suluhu ya changamoto ya mgao wa umeme et ehee?hawa machipukizi ni makini sana asikudanganye mtu