Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Kwa mara ya kwanza naona vitu vya hovyo na vya aibu vinavyochekesha sana![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi ni mimi mwenyewe nacheka au kuna mwingine inamchekesha pia?View attachment 1614283
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga na za aibu hivi.Chadema Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Mmesha uwa watu kumi, hiyo damu itawarokea puani, mumiani wakubwa nyieChadema Huu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
bado masaa tuu huu wimbowenu unachuja...Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga na za aibu hivi.
Magufuli ni hopeless sinner!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga na za aibu hivi.
bado masaa tuu huu wimbowenu unachuja...
Mmesha uwa watu kumi, hiyo damu itawarokea puani, mumiani wakubwa nyie
Halima Mdee amekamata kura fake 10,000 ila Polisi wamemtia ndani yeye badala ya kuhangaika na kura fake![emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku yataisha yote haya. Na ccm wanajua wakitoka madarakani hawatarudi tena.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Bora useme
DuhHalima Mdee amekamata kura fake 10,000 ila Polisi wamemtia ndani yeye badala ya kuhangaika na kura fake![emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1614302
Chato CCM mawakala 900+ na CDM mawakala 400+, najiuliza, je CHADEMA walikosa mawakala? Au ni ujinga ulitendeka?
Aliyesema nchi imekabidhiwa washamba, sasa namwelewa zaidi.
Mara mia jamaa angetangaza hakuna uchaguzi na aka-declare kuwa ataongoza mpaka 2025, kuliko UCHAFUZI huu mkubwa.