Hii nchi imepata viongozi walahi!!

Hii nchi imepata viongozi walahi!!

Watanzania wenzangu "Mi nawashauri tuanze kuchambia malimao, maana hii ya kupimana Covid kwenye tundu ya huzuni Dah!" [emoji2986][emoji2986][emoji2986]
 
Bongo kutamu sana, yaani Kila siku kuna tukio lake la kuisindikiza, hatupoi yaani kama series za Hollywood.
 
Back
Top Bottom