hii nayo vipi...?

Hizi ndio ajira alizowaahidi mkwereee kwenye kampeni!!!
 
Ila hiyo inapunguza cos..teh teh teh
 
tena wakaka wakiwa salon mimi huwa naburudika sana.........akikutoa rollers....akivuta kidogo tu anakubembeleza.........akikuchana anachana polepole.....akikusuka ndio usiseme.....napenda sana wanaume wanitengeneze nywele............
 
Eti nilisikia kuwa wengi wao ni watoto si rizki, hivi ni kweli?
 
tena wakaka wakiwa salon mimi huwa naburudika sana.........akikutoa rollers....akivuta kidogo tu anakubembeleza.........akikuchana anachana polepole.....akikusuka ndio usiseme.....napenda sana wanaume wanitengeneze nywele............

Umeandika kwa hisia lol...uwe basi unakujapo hapa watu8 saluni endi butiki...tunatoa huduma murua sana!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…