Aisee wanaume wacongo mahodari sana kusuka na kutengeneza nywele...
kweli mpendwa; Wanashindana na wanaume wa Lebanon nao wakishika nywele .....Basi tena !!Aisee wanaume wacongo mahodari sana kusuka na kutengeneza nywele...
msijitie wadhifa usio wenu loh...We mama yeyoooo, mbona nasindwa taja na sisi Wamaasi...
msijitie wadhifa usio wenu loh...
Msukuma kawa mmasai lolHebu kuja hapa Mwenge (Dsm) uone Wamaasai wanavyoshambulia vichwa vya wadada...
Msukuma kawa mmasai lol
ha ha ha kweli watanga hawana dogo lohNimemix damu nyingi sana besti...nina asili kama nne hivi...
tena wakaka wakiwa salon mimi huwa naburudika sana.........akikutoa rollers....akivuta kidogo tu anakubembeleza.........akikuchana anachana polepole.....akikusuka ndio usiseme.....napenda sana wanaume wanitengeneze nywele............