Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Hii imetokea wapi?
Maeneo ya tunduma, sumbawanga na Mbeya imeanza kunukia...
Duh!! Hii kali. Imetokea wapi hii mkuu??
Related to ushirikina. Mungu atusaidie kwa kweli km ni kweli.
Kwa haya maeneo sishangai jambo lolote laweza tokea vipi ngozi sio dili siku hizi?
Maeneo ya tunduma, sumbawanga na Mbeya imeanza kunukia...
Mtalingolo acha kupotosha watu bwana. Kweli ulevi ni noma, we si tulikuwa wote tu jana pale nanihiii sasa umefika lini mbeya/sumbawanga?