Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,429
- 8,375
Fafanua. Ubora katika nini. Mimi Vodacom naitumia kwenye M- pesa tu, kwa kuwa wana mtandao mkubwa wa huduma hiyo. Huduma nyingine sijawahi kushawishika kuzitumia, 'too expensive'.Hakuna mtandao bora tz kuzidi Vodacom japokuwa ni kwel kabisa wana gharama kubwa sana