Hii nayo kwa Vodacom mmezidi

Hii nayo kwa Vodacom mmezidi

Gwangzu

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
2,457
Reaction score
3,819
Yaani leo nimefungua ile Menu yao nijiunge bando la buku nimekuta eti Mb 350 ndio kwa buku Hadi nikajua nimekosea ngoja nirudie tena duh kumbe ndy ilivyokuwa.

Yaani jana2 nimejiunga kifurushi cha Kanda ya ziwa kwa buku ni Mb GB 1 dakika 100 all network sms 100 Siku 2. Duh yaani kesho naenda kutafuta line ya halotel mbwa nyie voda nawahama.
 
Voda naitumia tu kwasab Kuna maeneo mitandao mingne haishiki ila Hawa jamaa gharama zao ziko juu
 
Kwa buku ulipata mb GB 1? Kama sijakuelewa hivi mkuu!
 
Nina GB 2 za tigo lkn mwendo wa kobe na inaandika eti ni 4G kweli??
 
Mimi kwa 2,000

1. 1GB ya Internet
2. Unlimited SMS
3. Dakika 150, 15 Mitandao yote.

Ndani ya siku 7.

Kitu pekee nikipendacho kutoka voda ni kuwa wana speed nzuri ktk internet.

Voda mtandao wao hausumbui ktk network, sio kupigiwa simu wala kutuma sms, kitu pekee ambacho Tigo na Airtel na TTCL wamefeli ni hapa, nasikia Halotel pia ktk network amejitahidi mno.
 
Ninetumia Internet ya mitandao yote ila Voda ni kiboko, hiyo 4G so mchezo iko fasta sana, huwa najiunga Kifurushi cha mwezi GB 15 kwa 20,000[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
vodacom .... Naomba mnieleweshe hii mpya mliyokuja nayo ya matumizi bila bando. Naona Ni wizi wa kweupe mchana. Mteja anajiunga na bando kwa ajili ya kusave pesa. Mnaleta option ya matumizi bila bando. Nia Ni ipi hasa?? Mnaanza huduma wateja hatujaelewa.... Ni sawa na wizi wa Mchana kweupe.
 
Halotel ni slow mo kweli. Hapa Dar wana 4G ila ni kama 2G ya vodacom.
Ni kweli 4G ya halotel ni 2G ya mitandao mingine.maana kuna siku nikadhani labda router yangu ni mbovu.bei ya vifurushi iko chini pia ila mwendo ni pole pole mno .sijajua wametutapeli kwa kutuuzia line za 2G na kutuambia ni 4G
 
Pole sana.

Back
Top Bottom