S sagemba JF-Expert Member Joined Jan 7, 2013 Posts 467 Reaction score 30 Dec 4, 2013 #1 Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa uchi, konda akawa anamshangaa,jamaa akamuliza konda unanishangaa nini? Konda;, Sishangai uchi wako najiuliza nauli umeweka wapi?
Jamaa alifumaniwa akakimbilia kwenye daladala akiwa uchi, konda akawa anamshangaa,jamaa akamuliza konda unanishangaa nini? Konda;, Sishangai uchi wako najiuliza nauli umeweka wapi?
nelly nely JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 665 Reaction score 229 Dec 5, 2013 #2 Si kuna matundu mwilini?
dutch thomas Member Joined Dec 10, 2013 Posts 11 Reaction score 3 Dec 12, 2013 #3 Atamtumia kwa bluetooth