Hii nayo kali!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii nayo kali!!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Straight corner, Oct 11, 2012.

 1. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  Hii msee inaleta macheso, ati wakuje wapate chenye wanataka? Hahahaaaaa, asubiri wakuje na jambia atajua nini natoa nyoka kwa pango!
   
 2. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hii iko na afadhari kubwa. Iko na msimamo kama sura yake. Kama mbunge moja taka pesaaa yote, mutu ingine itpata nini? Kenya si ni yetu sote?. Big up mr Presder.
   
 3. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  Hahahaha ndugu yake na tyson huyo aka mzee wa gombe
   
 4. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Walau anafanya kazi na inaweza kuonekana. Ebu mlinganishe na hii DHAIFU ya kwetu kazi kubembea na kukokotwa huko majuu ambako hawezi hata kutetea point moja.
   
 5. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Wabunge hatuji mpaka aondoe huo mjeredi hapo kwa meza.
   
 6. Nebisirwe

  Nebisirwe Senior Member

  #6
  Oct 13, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msee wewew naoa nyoka kwa pangoe? subiri wewe taona kasi
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huyu mzee ingawa na yeye ni mpuuzi kwa kiasi fulani lakini kwa hili nampongeza sana.
   
Loading...