Hii nayo kali daaah...!!

Hii nayo kali daaah...!!

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,990
Reaction score
3,551
30658_103586663023706_100001171178471_33383_3629730_n.jpg Usingizi utapata kweli kwa hali hii....!?
 
hapo kuna upendo kweliii aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah!!tukienda nyumba ndogo.
 
kama ni mm naenda sebuleni, ya nn niteseke kitandani kwangu mwenyewe.
 
Aaaah hiii ni kali ya mwaka wanaweza wakaweka na shoti ya umeme hapo.
 
Sa hapo wanamwongopea nani, si bora waachane tu!!!
 
1.hiyo danganya toto ili mama alale jamaa amnyatie, huo waya upo juu juu tu haugusi shuka.chini ya shuka mechi kali sana inaweza ikaanza wakati wowote.
2.hapa mama anaonekana ndio mkorofi na jamaa katafuta suluhisho la kishikaji.
 
Huo waya gelesha tu mbona chini ya shuka kunaingilika......., we subiri kabwana 'mood' kaje!!!
 
Back
Top Bottom