Hii "namba haisomeki"

Hii "namba haisomeki"

Maguge Maguge

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
2,734
Reaction score
1,781
Nimekuwa nikisikia kwamba kuna watu walipiga dili huko kusini mwa Tanzania, badala ya kujenga kiwanda hela zilizokuwa zimetengwa kwa shughuli hiyo $20,000,000 wakaamua kuzipiga,

Nimejaribu kuziconvert $20,000,000×2,200
Jibu nililopata ni 4.4E10
Nikajiuliza,

"Hii namba inasomwaje?"

Ila nikastuka,
Maana yake hesabu imezidi uwezo wa kalkuleta.

Hivi nchi hii ikoje?
Yaani mtu anaweza kuiba pesa ambazo hata kalkuleta haziwezi kuzihesabu!
Halafu aachwe tu?

Nikachukua kalkuleta nyingine nikarudia hesabu, jibu ililotoa ni 4,400,000,000 (Bilioni nne na milioni mia nne)

Hivi, tunaweza kusema mtu au watu walioiba hela hizi waachwe tu?

Halafu wengine tuendelee kutoa jasho kwenye miradi hiyo kwa fedha ambazozingefanya kazi nyingine, wakati hizo hela zipo kwa watu wasiozitolea jasho?

Kama kuna watu wameiba hivi wasiachwe, nasema wasilindweeee!!

Hii haikubaliki hata kidogo!
Ifikie mahala watanzania tuwe na sauti moja juu ya mambo kama haya!

Sheria ichukue mkondo wake

Ila baadae nimewaza, nikaona

Aaaa, Siwezi kufukua makaburi!
Sina uwezo wa kuyafukia.
 
"Ndo kuisoma namba ee!"

Some things Are just out of your control...... kwani Mkulu kasemaje

Hahahahahahah unafikri waliozipiga hizo hela ni kina masogange ... Si waty wa Mchezo mchezo
 
Nimekuwa nikisikia kwamba kuna watu walipiga dili huko kusini mwa Tanzania, badala ya kujenga kiwanda hela zilizokuwa zimetengwa kwa shughuli hiyo $20,000,000 wakaamua kuzipiga,

Nimejaribu kuziconvert $20,000,000×2,200
Jibu nililopata ni 4.4E10
Nikajiuliza,

"Hii namba inasomwaje?"

Ila nikastuka,
Maana yake hesabu imezidi uwezo wa kalkuleta.

Hivi nchi hii ikoje?
Yaani mtu anaweza kuiba pesa ambazo hata kalkuleta haziwezi kuzihesabu!
Halafu aachwe tu?

Nikachukua kalkuleta nyingine nikarudia hesabu, jibu ililotoa ni 4,400,000,000 (Bilioni nne na milioni mia nne)

Hivi, tunaweza kusema mtu au watu walioiba hela hizi waachwe tu?

Halafu wengine tuendelee kutoa jasho kwenye miradi hiyo kwa fedha ambazozingefanya kazi nyingine, wakati hizo hela zipo kwa watu wasiozitolea jasho?

Kama kuna watu wameiba hivi wasiachwe, nasema wasilindweeee!!

Hii haikubaliki hata kidogo!
Ifikie mahala watanzania tuwe na sauti moja juu ya mambo kama haya!

Sheria ichukue mkondo wake

Ila baadae nimewaza, nikaona

Aaaa, Siwezi kufukua makaburi!
Sina uwezo wa kuyafukia.
Hiyo calculator yako itakuwa mbovu au wewe umekosea kuandika. $ 20,000,000 × 2200 ni 44,000,000,000 (bilion 44) na siyo bilion 4.4
 
Namshauri asiyafukue makaburi. Nchi yaweza chafukwa kabisa. Billion 44 ni zaidi ya bajeti ya wizara. Hizo ni zile tumeoneshwa tu alizopiga siku za mwisho kwa haraka akasahau kufunika mashimo alochimba
 
We ndo dungu yani billion 4 ndo haisomeki
 
Nimekuwa nikisikia kwamba kuna watu walipiga dili huko kusini mwa Tanzania, badala ya kujenga kiwanda hela zilizokuwa zimetengwa kwa shughuli hiyo $20,000,000 wakaamua kuzipiga,

Nimejaribu kuziconvert $20,000,000×2,200
Jibu nililopata ni 4.4E10
Nikajiuliza,

"Hii namba inasomwaje?"

Ila nikastuka,
Maana yake hesabu imezidi uwezo wa kalkuleta.

Hivi nchi hii ikoje?
Yaani mtu anaweza kuiba pesa ambazo hata kalkuleta haziwezi kuzihesabu!
Halafu aachwe tu?

Nikachukua kalkuleta nyingine nikarudia hesabu, jibu ililotoa ni 4,400,000,000 (Bilioni nne na milioni mia nne)

Hivi, tunaweza kusema mtu au watu walioiba hela hizi waachwe tu?

Halafu wengine tuendelee kutoa jasho kwenye miradi hiyo kwa fedha ambazozingefanya kazi nyingine, wakati hizo hela zipo kwa watu wasiozitolea jasho?

Kama kuna watu wameiba hivi wasiachwe, nasema wasilindweeee!!

Hii haikubaliki hata kidogo!
Ifikie mahala watanzania tuwe na sauti moja juu ya mambo kama haya!

Sheria ichukue mkondo wake

Ila baadae nimewaza, nikaona

Aaaa, Siwezi kufukua makaburi!
Sina uwezo wa kuyafukia.

Hiyo E inatokea endapo kama number ni kubwa sana au ni ndogo sana kiasi cha kushindwa kufit kwenye display ya calculator, kwa maana kwamba ni kifupisho!
Humaanisha exponent(power or index), maanake E5 ni sawa 100,000 hivyo hiyo E10 ni sawa 10,000,000,000 sasa kwa kuwa display ya calcultor yako ya awali haikuwa na uwezo wa kuandika number kubwa ikakupa jibu la ambalo ni lipo kwenye standard form!!
So hilo jawabu ulilopata unalosema calculor ilishindwa lipo sahihi kabisa...
 
Back
Top Bottom