Hii nahisi yaweza kuwa kweli

Hii nahisi yaweza kuwa kweli

Enzi za Mwinyi watu walisema serikali imeenda likizo. Kwa sasa mambo yanavyoenda TZ nahisi kuwa labda wakati wa Mkapa serikali ilitoka likizo ikaja kufanya kazi kwa miaka kumi bila kupumzika na sasa hivi wakati huu serikali ilionelea iende tena likizo kuanzia mwaka 2005.

Kwa hiyo wa TZ tusishangae mambo ya ajabu yanayoendelea hapa nchini bali tujue ni kuwa serikali iko tena likizo na hatujui ni lini likizo ya kipindi hiki itaishia kwa sababu serikali haijawahi kuwataarifu wananchi wake ni lini itaenda likizo na ni lini likizo inaisha.

Nawasilisha.

Jaribu kuandamana hata kama uko mwenyewe ndio utajua ukweli wa kauli yako.
 
Rebanon, kuna wakristu na waislaam na kwenye katiba yao huko nyuma walipenda kupokezana katika utawala yaani kipindi fulani mkristo anakuwa mtawala na kipindikingine anakuwa muislam. Lakini wakagundua baada ya muda kila wakati muislamu akitawala basi mambo hualibika, waaislamu wenyewe wakaja na pendekezo kuwa basi nchi itawaliwe na mkristo mapaka wao nao watakapoelimika kuweza kutawala. Baada ya kuelimika hivi juzi tuu ndio wamerudisha utaratibu wa zamani. Samahani ndugu zangu waislamu sipendi udini sana kwani nina ndugu waislamu pia ila najua utamaduni huu wa utawala naona kama utawashinda kama hamta kuwa wakali wa watala hasa pale wanapokuwa dini zenu. Tumeshudia ya Mwinyi sasa ya Jk, wakeeni musiwacheekee pale wanapohalibu kwani wanawashusha. Mimi nilikuwa na wasiwasi sana pale Obama alipochaguliwa kuiongoza marekali lakini amenifanya niwe proud african kuwa tunaweza kwa kuchaguliwa mara ya pili lakini asingechaguliwa ningelikuwa wa kwanza kumlaumu pia.
Je, na wewe ni miongoni mwa wale Wakristo walioelimika?
 
Get your facts right. Jimmy Carter alikuwa rais wa Marekani 1976-1980. Mwalimu alikuja Marekani state visit August 1977. Uwongo huu umefifisha ulichokusudia kusema kwenye thread yako.
Tanzania imefika hapa ilipo kutokana na kutokuwa na watu makini kama hawa!. jamaa anakurupuka tu eti 1974...
 
Rebanon, kuna wakristu na waislaam na kwenye katiba yao huko nyuma walipenda kupokezana katika utawala yaani kipindi fulani mkristo anakuwa mtawala na kipindikingine anakuwa muislam. Lakini wakagundua baada ya muda kila wakati muislamu akitawala basi mambo hualibika, waaislamu wenyewe wakaja na pendekezo kuwa basi nchi itawaliwe na mkristo mapaka wao nao watakapoelimika kuweza kutawala. Baada ya kuelimika hivi juzi tuu ndio wamerudisha utaratibu wa zamani. Samahani ndugu zangu waislamu sipendi udini sana kwani nina ndugu waislamu pia ila najua utamaduni huu wa utawala naona kama utawashinda kama hamta kuwa wakali wa watala hasa pale wanapokuwa dini zenu. Tumeshudia ya Mwinyi sasa ya Jk, wakeeni musiwacheekee pale wanapohalibu kwani wanawashusha. Mimi nilikuwa na wasiwasi sana pale Obama alipochaguliwa kuiongoza marekali lakini amenifanya niwe proud african kuwa tunaweza kwa kuchaguliwa mara ya pili lakini asingechaguliwa ningelikuwa wa kwanza kumlaumu pia.
Sijakuelewa kabisaaaaaa!
 
Just to keep discussion understandable, here is what the guy said:
Na enzi za kidumu fikra sahihi za chama cha shika hatamu mbona hutaji? au ile haikuwa Serikali? au kwa kuwa alitawala zaidi ya miaka 24 na watu kukosa hata viatu na nguo za kujisitiri! au umesahau foleni za mikate na unga! umesahau watu walioliwa na Simba kwa kulazimishwa kuhamia vijiji vya ujamaa? umesahau michango ya nguvu na kusimamiwa na Mabalozi wa nyumba kumi ili kusaidia safari za Mzee haambiliki kwa ajili ya hafla zake?

Tulikuwa tunalazimishwa Mashuleni kusimama barabarani kuanzia asubuhi tunamngojea Ndugu haambiliki na akija saa 10 jioni! hapo tena tunaambiwa turudi nyumbani baada ya kumwimbia na kumpigia makofi! umesahau watu waliokufa kwa njaa mwaka 1974 na Haambiliki akaenda kwa Jimmy Carter Rais wa Marekani kumuomba chakula na kupewa unga wa Yanga? umesahau? anaenda kuomba chakula wakati ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora ulikuwepo!
But below, is what Jasusi you said:
Get your facts right. Jimmy Carter alikuwa rais wa Marekani 1976-1980. Mwalimu alikuja Marekani state visit August 1977. Uwongo huu umefifisha ulichokusudia kusema kwenye thread yako.
My concern is:
Do you have any comment on the above allegations putting the numbers aside?! What I mean is, whether it was 1974 or anything like that, let's ignore it! I hope this isn't the legal game where Lawyers always look for a very minor presentation loophole to discard the whole fact! By the way, sie wengine hiyo 1976-1980 tulikuwa very young to know what was really going on in the country!
 
Just to keep discussion understandable, here is what the guy said:

But below, is what Jasusi you said:

My concern is:
Do you have any comment on the above allegations putting the numbers aside?! What I mean is, whether it was 1974 or anything like that, let's ignore it! I hope this isn't the legal game where Lawyers always look for a very minor presentation loophole to discard the whole fact! By the way, sie wengine hiyo 1976-1980 tulikuwa very young to know what was really going on in the country!
NazDaz,
Kuhusu unga wa yanga wa 1974 hatukupewa zawadi na Marekani. Tanzania ilinunua unga huo kutoka Texas na aliyekuwa na responsibility ya kuutafuta ni huyu Felix Mrema, aliyekuwa mbunge wa CCM Arusha, wakati huo akiwa afisa ubalozini Washington. Kosa alilofanya Mrema ni kuagiza unga bila kwenda kuangalia. Muuzaji akasafirisha unga wa manjano ambao kwa Watanzania walikuwa hawajauzoea. Ndio maana waliupa jina yanga. Ndio, kulikuwepo njaa mwaka 1974 kutokana na ukame. Hizo ni facts zisizoweza kusutwa.
 
Hebu niambie baadhi ya matukio ambayo yanathibitisha serikali ipo likizo??

Nikusaidie tu Mzee wa Rula; Ukiona kila mmoja anaweza akatoa MATAMKO HATARISHI KWENYE PUBLIC KAMA VITUO VYA DALA DALA KWAMBA WAISLAMU JIPANGENI SAWA SAWA KWA AJILI YA KUUA MAPADRE NA MAASKOFU NA WALEI halafu unaona hakuna hatua yoyote inayochukuliwa jua Rasmi kuwa Serikali iko SHOPPING ULAYA. Yapo mengi kuonyesha serikali yetu iko Shopping Ulaya.

Get your facts right. Jimmy Carter alikuwa rais wa Marekani 1976-1980. Mwalimu alikuja Marekani state visit August 1977. Uwongo huu umefifisha ulichokusudia kusema kwenye thread yako.

Nashukuru kwa sahihisho!

Na enzi za kidumu fikra sahihi za chama cha shika hatamu mbona hutaji? au ile haikuwa Serikali? au kwa kuwa alitawala zaidi ya miaka 24 na watu kukosa hata viatu na nguo za kujisitiri! au umesahau foleni za mikate na unga! umesahau watu walioliwa na Simba kwa kulazimishwa kuhamia vijiji vya ujamaa? umesahau michango ya nguvu na kusimamiwa na Mabalozi wa nyumba kumi ili kusaidia safari za Mzee haambiliki kwa ajili ya hafla zake?

Tulikuwa tunalazimishwa Mashuleni kusimama barabarani kuanzia asubuhi tunamngojea Ndugu haambiliki na akija saa 10 jioni! hapo tena tunaambiwa turudi nyumbani baada ya kumwimbia na kumpigia makofi! umesahau watu waliokufa kwa njaa mwaka 1974 na Haambiliki akaenda Marekani kuomba chakula na kupewa unga wa Yanga? umesahau? anaenda kuomba chakula wakati ardhi, watu, siasa safi (ujamaa) na uongozi bora tulikuwa tayari tunazo!
 
NazDaz,
Kuhusu unga wa yanga wa 1974 hatukupewa zawadi na Marekani. Tanzania ilinunua unga huo kutoka Texas na aliyekuwa na responsibility ya kuutafuta ni huyu Felix Mrema, aliyekuwa mbunge wa CCM Arusha, wakati huo akiwa afisa ubalozini Washington. Kosa alilofanya Mrema ni kuagiza unga bila kwenda kuangalia. Muuzaji akasafirisha unga wa manjano ambao kwa Watanzania walikuwa hawajauzoea. Ndio maana waliupa jina yanga. Ndio, kulikuwepo njaa mwaka 1974 kutokana na ukame. Hizo ni facts zisizoweza kusutwa.

Sio kweli hata kidogo! 1974 kulikuwa na njaa kali na kusababisha vifo na kwa sababu Mzee Haambiliki aliomba msaada wa chakula na haingii akilini nchi wanakufa kwa njaa halafu taifa kubwa kama USA ituuzie unga!
lete ushahidi kama kweli tulinunua unga wa yanga na mimi ntaleta ushahidi wa kupewa msaada na USA!
 
Kama ni kujipanga barabarani hata sisi tulipitia. Lakini hatukulazimishwa. Bado ninaona fahari kujipanga pale Forodhani wakati tunamkaribisha Gamal Abdel Nasser wa Misri alipokuja state visit Tanzania. Hatukulazimishwa. Hata pale Musoma wakati Nyerere anakwenda Butiama, headmaster wetu alitupanga barabarani. Nyerere akapita, akasimamisha gari akatusalimia. It was a proud moment. Kama wewe unaona ulilazimishwa, pole sana. Kuhusu watu walioliwa na simba huo ni uwongo. Mjomba wangu alihamia kijiji cha ujamaa na nilipata shida kumtafuta niliporudi nyumbani, lakini hatimaye nilimpata. Tatizo la vijiji vya ujamaa ni kwamba hayakufanywa maandalizi ya kutosha, hasa katika mambo kama infrastructure, lakini the idea was good. Nyerere hakuwahi kuomba chakula nje. Narudia tena. Nyerere hakuwahi kuomba msaada wa chakula nje. Hata ile yanga unayoilalamikia (nimeshaeleza hapo juu) tulinunua kwa fedha zetu.
 
Sio kweli hata kidogo! 1974 kulikuwa na njaa kali na kusababisha vifo na kwa sababu Mzee Haambiliki aliomba msaada wa chakula na haingii akilini nchi wanakufa kwa njaa halafu taifa kubwa kama USA ituuzie unga!
lete ushahidi kama kweli tulinunua unga wa yanga na mimi ntaleta ushahidi wa kupewa msaada na USA!
Nimeshakupa ushahidi. Nimekwambia afisa aliyekuwa na jukumu la kununua mahindi ni Felix Mrema, alipokuwa ubalozini Washington. Unataka ushahidi gani zaidi ya hapo? Yupo Arusha, kamuulize kama nasema uwongo. Nyerere never begged for food. We bought it. Naona hilo linakuwa gumu kwako kuelewa au kukubali.
 
Enzi za Mwinyi watu walisema serikali imeenda likizo. Kwa sasa mambo yanavyoenda TZ nahisi kuwa labda wakati wa Mkapa serikali ilitoka likizo ikaja kufanya kazi kwa miaka kumi bila kupumzika na sasa hivi wakati huu serikali ilionelea iende tena likizo kuanzia mwaka 2005.

Kwa hiyo wa TZ tusishangae mambo ya ajabu yanayoendelea hapa nchini bali tujue ni kuwa serikali iko tena likizo na hatujui ni lini likizo ya kipindi hiki itaishia kwa sababu serikali haijawahi kuwataarifu wananchi wake ni lini itaenda likizo na ni lini likizo inaisha.

Nawasilisha.

Muwasilisho wako tumeupokea

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chadema JF mnahangaika sana. Mwinyi ndio alitufungua macho lasivyo mpaka leo tugekua tunavaa chacha na vitenge.
 
kweli hii ndo tanzania kila mtu eti ni mchambuzi wa siasa!
Ukiona hivyo ujue wanasiasa wenyewe walioko madarakani hawajui siasa kila raia anajitahidi kusaidia kama unapokuta gari bovu limeziba barabara unasaidia kusukuma.
 
POINTS OF DISCUSSIONS:
NazDaz,
Kuhusu unga wa yanga wa 1974 hatukupewa zawadi na Marekani. Tanzania ilinunua unga huo kutoka Texas na aliyekuwa na responsibility ya kuutafuta ni huyu Felix Mrema, aliyekuwa mbunge wa CCM Arusha, wakati huo akiwa afisa ubalozini Washington. Kosa alilofanya Mrema ni kuagiza unga bila kwenda kuangalia. Muuzaji akasafirisha unga wa manjano ambao kwa Watanzania walikuwa hawajauzoea. Ndio maana waliupa jina yanga. Ndio, kulikuwepo njaa mwaka 1974 kutokana na ukame. Hizo ni facts zisizoweza kusutwa.
Get your facts right. Jimmy Carter alikuwa rais wa Marekani 1976-1980. Mwalimu alikuja Marekani state visit August 1977. Uwongo huu umefifisha ulichokusudia kusema kwenye thread yako.
Sio kweli hata kidogo! 1974 kulikuwa na njaa kali na kusababisha vifo na kwa sababu Mzee Haambiliki aliomba msaada wa chakula na haingii akilini nchi wanakufa kwa njaa halafu taifa kubwa kama USA ituuzie unga!
lete ushahidi kama kweli tulinunua unga wa yanga na mimi ntaleta ushahidi wa kupewa msaada na USA!

Mkuu wangu Tanzania Kwanza, naomba ufafanuzi kidogo!
Kuna tofauti yoyote kati ya njaa ya 1974 na Unga wa njano?! Wht is ur base? Kwamba 1974 Tanzania kulikuwa na baa la njaa au 1974 ndio mwaka ambao TZ tulikula unga wa njano kutokana na baa la njaa? By the way, ni mara ngapi TZ ilikumbana na hilo suala la unga wa njano? Mara moja au zaidi ya mara moja?

Nauliza hayo coz' hili suala la unga wa njano binafsi nalikumbuka kidogo ingawaje I was too young! Na kama ndivyo, basi isingeweza kuwa 1974 coz' I wasn't there(duniani) but naweza kukubaliana na Jasusi kwamba kama suala ni unga wa njano basi unaweza kuwa somewhere around 1976-1980! Naukumbuka huu unga, nilikuwa naupenda sana uji wake…..hata hivyo wala sifahamu kama nilikuwa naupenda kutokana na ladha yake au rangi yake! Utoto bana, rah asana aisee!
 
Rebanon, kuna wakristu na waislaam na kwenye katiba yao huko nyuma walipenda kupokezana katika utawala yaani kipindi fulani mkristo anakuwa mtawala na kipindikingine anakuwa muislam. Lakini wakagundua baada ya muda kila wakati muislamu akitawala basi mambo hualibika, waaislamu wenyewe wakaja na pendekezo kuwa basi nchi itawaliwe na mkristo mapaka wao nao watakapoelimika kuweza kutawala. Baada ya kuelimika hivi juzi tuu ndio wamerudisha utaratibu wa zamani. Samahani ndugu zangu waislamu sipendi udini sana kwani nina ndugu waislamu pia ila najua utamaduni huu wa utawala naona kama utawashinda kama hamta kuwa wakali wa watala hasa pale wanapokuwa dini zenu. Tumeshudia ya Mwinyi sasa ya Jk, wakeeni musiwacheekee pale wanapohalibu kwani wanawashusha. Mimi nilikuwa na wasiwasi sana pale Obama alipochaguliwa kuiongoza marekali lakini amenifanya niwe proud african kuwa tunaweza kwa kuchaguliwa mara ya pili lakini asingechaguliwa ningelikuwa wa kwanza kumlaumu pia.
Wewe sio tu kwamba ni MDINI bali hata uelewa wako ni mdogo!! Sitashangaa nikisikia kwamba nawe ni ile product ya waimba kwaya kanisani!
 
Back
Top Bottom