Wakuu tayari nina unlock code za modem VOdafone mobile connect K-3565-Z lakini ni kiweka laini nyingine haidai hizo code, je nitaichakachuaje,wote mnakaribishwa
Wakuu tayari nina unlock code za modem VOdafone mobile connect K-3565-Z lakini ni kiweka laini nyingine haidai hizo code, je nitaichakachuaje,wote mnakaribishwa
jaribu hapa mkuu uone jama wanavyo zichakachua TZEYaaap mkubwa nimeona kuna lebo ya ZTE sasa nitaichakacuaje nielekeze
Nimeijaribu na nimeonamafanikio kwa sababu SIM STATUS inaonesha iko unlocked sasa kwa hiyo nikitaka kutumia airtel inabidi nitafute software zake au inakuwaje mkuukama ni zte-k3565z inaweza kufunguka,uhakika ninao kwasababu nimewahi fanya hiyo kitu,sema unabidi uwe makini kwasababu hii program inataka umakini kidogo!kama kuna yoyote mwenye uzoefu zaidi yangu anaweza kuongezea mawazo yake!
binya-http://www.dc-unlocker.com/download/soft.php?file=soQEFbl
au-http://www.dc-unlocker.com/downloads/get/soQEFbl
Nashukuru sana very very senkyuuuu mambo haya ndo yanatakiwa e bana saluti kwenu binMgen na venant benjaribu hapa mkuu uone jama wanavyo zichakachua TZE
ZTE - DC Unlocker Forum
Nashukuru sana very very senkyuuuu mambo haya ndo yanatakiwa e bana saluti kwenu <font size="4">big mgen na venant ben</font>
Nahisi hivyo kwa sababu nimesoma kwenye link aliyotoa Binmgen hapo kwamba ukiingiza laini nyingine ukakuta kwenye hiyo program ya Dc unlocker inasema SIM STATUS unlocked basi tayari inapiga laini zote kesho ntajaribu kuchukua software za airtel ili nione inakuwajeumefanikiwa?
Mambo c hayo sa hivi najirusha mitandao yote, Nimegonga senkyuuuuu mara 1000000000Check hapa.........ukifanikiwa mgongee senkyuu CalvinPower
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=17985&d=1291510421
Nimeijaribu na nimeonamafanikio kwa sababu SIM STATUS inaonesha iko unlocked sasa kwa hiyo nikitaka kutumia airtel inabidi nitafute software zake au inakuwaje mkuu
Weka laini hiyo ya airtel alafu ukiifungua hiyo DC unlocker uende kwenye SELECT MANUFACTURER unachagua ZTE MODEMS then kwenye SELECT MODEM acha autodect then click search simu modem yako itaditect, modem ikishakuwa Ditected angalia kwenye hayo maelezo kwa chini utaona SIM STATUS kama ikiwa Locked nenda unlock na ukiclick hapo then kwa chini ya unlock utaona enable diagnostically unaclick hapo tena mkuu,Kama SIM STATUS ikiwa unlocked nenda direct kwenye Enable diagnostically. Baada ya hapo itakuwa unlocked sasa ukitaka kutumia Airtel tumia program inatwa Join AIr idownload kweny hii link http://rapidshare.com/files/434944746/ZTE_Join_Air-1.0.rarKaka mkubwa nimedownload hii Dc-Unlocker.nilijaribu kuweka lsim card ya airtel kwenye modem.Ikafunguka mobile connect nikaipiga chini nikafungua Dc-unlocker nikaenda kwenye detect ikaniambia No CARD.Naomba procedures sahihi za kukichakachua hiki kidude salute mkuu.
Weka laini hiyo ya airtel alafu ukiifungua hiyo DC unlocker uende kwenye SELECT MANUFACTURER unachagua ZTE MODEMS then kwenye SELECT MODEM acha autodect then click search simu modem yako itaditect, modem ikishakuwa Ditected angalia kwenye hayo maelezo kwa chini utaona SIM STATUS kama ikiwa Locked nenda unlock na ukiclick hapo then kwa chini ya unlock utaona enable diagnostically unaclick hapo tena mkuu,Kama SIM STATUS ikiwa unlocked nenda direct kwenye Enable diagnostically. Baada ya hapo itakuwa unlocked sasa ukitaka kutumia Airtel tumia program inatwa Join AIr idownload kweny hii link http://rapidshare.com/files/434944746/ZTE_Join_Air-1.0.rar
teh teh Drphone maujuzi yenu haswa sasa na mimi nimeanza kuwa mwalimu hahha,