MSAADA TAFADHALI - lakini VODACOM ZTE MODEM K3570-Z | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA TAFADHALI - lakini VODACOM ZTE MODEM K3570-Z

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BobKinguti, Sep 3, 2011.

 1. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wakuu habari zenu?

  Nimenunua hivi karibuni modem ya vodacom aina ya ZTE K3570-z. Nimefanya installation successful. Nikichomeka modem kwenye laptop yangu, inakua detected na network ipo vizuri, salio napata as well as nikitaka kuongeza credit kwenye line huduma inapatikana.

  Tatizo liko kwenye internet connection, kila niki-click connect inaleta message hii hapa chini.

  "Mobile connection not possible.

  -Set your current mobile device as default device under the 'Device' tab in the Advanced window
  -Ensure that no other applications are using your mobile device and try again in a short while
  -Delete the device under 'Devices' tab in the Advanced window, add it back again, and then try connecting
  -If you see the 'Account Type' option in the Options Window, check that the correct account is sellected for your SIM.

  If this error persists,please contact support at your mobile network operator

  Support information:
  ''RAS error code 635''

  Laptop yangu ni TOSHIBA na natumia Window 7 Home Premium. Nimejaribu na bado naendelea kuhangaika ku-fix hili tatizo ikiwa ni pamoja na kutembelea na kusoma forums,articles mbalimbali from vodafone stakeholders and others lakini bado sijafanikiwa. Vilevile nimejaribu kutumia JOIN AIR DASHBOARD FOR ZTE MODEM, lakini cha ajabu hii program kila nikii-open inafanya initialization then inajifunga na zaidi ya hapo hakuna kinachoendelea. Sijafanya mawasiliano yoyote na vodacom. Sababu kuu ni kuhofia kupoteza muda kwa majibu yasiyo na uhakika. Naamini hapa jamvini ndio kwenye wataalamu wa ki-ukweli.

  Tafadhali naomba kwa yoyote mwenye ufahamu wa kina kuhusu hili tatizo anisaidie.

   
 2. Arselona

  Arselona JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 638
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  unistall vodafone dashboard na u2mie zte join air.
   
 3. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Arselona,

  Mkuu nimejaribu hilo zoezi bila mafanikio. Tatizo hii software ya JOIN AIR haikubali kufunga. Kila nikiifungua inafanya initialization then inajifunga. Sasa sijui ni kwamba haiko compatible with window 7?
   
 4. b

  betty marandu JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 80
  Ipo software ya vodafone inayosupport window 7.unaweza kudownload kutoka website ya vodafone.kama utashindwa nenda vodashop watakusaidia.
   
 5. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thanks.
  Ngoja niingie kwenye hiyo site niitafute. Kuna software moja niliidowload from vodafone india lakini nilivyojaribu kutumia hii modem ya voda ikasema, the software is the older one, and can not be supported.

  Vilevile hii dashboard ya k3570-z from vodafone naona ina complications nyingi, kwakweli nikipata other 3rd party software, i will be much confortable.

  Shukrani kwa muda na ushauri wako.
   
 6. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
 7. g

  gomer Senior Member

  #7
  Sep 4, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu,

  Ingia kwenye network connections;

  chagua dialup icon ya vodafone mobile broadband na rightclick uchague properties;

  ndani ya general tab, hakikisha ZTE Proprietary.. ni active na kisha press configure;

  tick vibox viwili vya mwanzo na press OK;

  kisha hakikisha phone number ni *99***1# ;

  press OK;

  Double click icon ya vodafone mobile broadband.
   
 8. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu shukrani for your concern. Ngoja nipakue hiyo software halafu nitakupa feedback. Vilevile nilifuatilia kwa kina yale maelezo yako kuhusu namna ya ku-unlock hizi vodafone modem. Bahati mbaya JOIN AIR ilinigomea.
   
 9. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ngoja nifuatilie kwa karibu haya maelekezo yako halafu nitarudi kutoa feedback. Shukrani kwa kujali.
   
 10. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Bibie hizo modem ni compatible kabisa na windows 7 haina haja ya kudwnload latest dashboard ingekua ni k3565 hapo sawa.
   
 11. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Chek na Smart Bro
  Bofya hapo
  Downloads - Smart Bro
   
 12. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu hatimaye nimefanikiwa ku-connect kwa kufuata njia uliyonielekeza. Mungu akubariki sana. Pamoja na hayo naomba nitoe shukrani za dhati kwa wadau wote waliotoa michango yao. Kwakweli nimepata utaalamu mwingine kupitia michango hiyo. Idumu JF.
   
 13. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
 14. BobKinguti

  BobKinguti JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu nimefanikiwa hatimae. Kuna maelezo aliyatoa Gomer, nimeyafuatilia yamenisaidia kusolve tatizo.
   
 15. M

  Mayu JF-Expert Member

  #15
  Sep 4, 2011
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Mkuu angaikia na join air ni nzuri sana kwaajili ya kutumia line za Tigo na Airtel.
  Kunapost humu inaelezea namna ya kufanya, na unapokuwa umeinstall join air usi unistall hiyo dash boad ya vodafone.
  Jaribu kuitafuta hiyo sredi humu
   
Loading...