Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,105
- 165,324
Acha uzembe, narudia acha uzembe
NimekuhamuuAhaha sawaaa my friend
Wewe umewahi kukaa jela?Mkuu umeshawahi kukaa jela
Sio uzembe madamAcha uzembe, narudia acha uzembe
Ukiazi umetoka wapi mkuu... Tushauriane kistaarabu tu mkuusasa mkuu na huko si wapo.?? embu tumia hao hao for the time being the ukirudi home unakuwa fresh..hao wakimataifa hawanaga mazoea saaaana kama hawa wa kwetu kinondoni..
au piga nyeto tu kama ukiona kula waliopo huko ni shida...Otherwise acha vyote fanya kilichokupeleka na usiwaze anasa tena!! Kiazi wewe
Mkuu unatakiwa uwe una mawe ya kutosha ili kila mwezi uwe unakuja kumsabahi mpenzi wako,vinginevyo zikikuzidi tumia waliopo karibu.
jisajili chaputa kwa mda no way
Ibada najitahidi... Ila nyege haziishi
Kama huna mpango wa kuchepuka chukua muda kufanya mazoez ya viungo cheza mpira..kimbia mchaka mchaka genye zitapungua..ukifanya mazoez daily
Kufa na njaa uzembe babuSio uzembe madam
It's really distressful
Loneliness is killing me dear
ulie muacha home tunaendelea kuenjoy naye acha uzembe jiongeze huko huko na wwNi mwezi wa pili sasa nikiwa nchi jirani hapa ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara.
Ukweli pamoja na ratiba tuliyonayo ya siku kuwa busy, haisee upweke bado ni kero inayoninyima kuyafurahia maisha .
Nilijiapiza kuwa mwaminifu hadi ntakaporejea home kwa my sweet baby, ila kadri siku zinavyoenda nahisi nadhiri hii uenda istekelezeke.
Nimemiss kumuona my love akinishika vidole, uku aniangalia usoni akinisemesha vijineno vile.... Bae umenikunja leooooo........kidume hapo self esteem inapaa mpaka mbinguni.
Kadri navyommiss ndivyo nyege zinavyoninogesha.... Bad thing mtaa tuliobase huku tunalazimika kupata vyakula sehemu za public zenye kila aina ya uumbaji wa Mungu...... Najua mmenielewa
Ni hayo tu wakuu *******
Hebu tushirikiane kupeana uzoefu kwenye hali kama hizi , mliwezaje kulejea salama home bila kuvunja viapo
Ladies ushauri wenu pia utanisaidia ku-nevigate in this situation
# upweke unabore ile mbaya #
Unaye mlindia kiapo ukute nae anakojoleshwa uko adi macho anayageuzia juu hahaha tumia Tulsa mkuu wanawqke wapo kwa jili yenu afu MTU unajibana bana eti my baby sijui nini na nini....kwanza uyo baby akijua ujachepuka atakuona bonge LA fwala...mkuu changamka.
Nimekuelewa madamAcha uzembe, narudia acha uzembe
Haha haha akijibu nitagMkuu umeshawahi kukaa jela





CHAPUTA musiniharibie kijana,jitunze mtoto mzuri huku shemeji yangu yupo salama kabisa na utamkuta salama kama ulivyomuacha ,tangu nijitoe chaputa na kaa nao vzur, kwani hata yeye ananisifia siku iz simchafui kama kipind kile nikiwa chaputa ,sasa ivi ni mwendo wa ling'ang'a ,mwendo wa ngiri meno nje,na siku ukirudi usione ajabu kukuuliza" baby mbona umerudi mapema?" .![]()
