Hii mnai-handle vipi wakuu

Hii mnai-handle vipi wakuu

Kama huko uliko kuna wanawake, kwann unatusumbua humu na nyege zako? Si uwafate ujiponee
 
Komaa, wenzio tunakaa hata miaka . Kila kitu ni mind set tu.

Kwanza wachukulia kama dada zako, then uone maisha yanvyokuwa so simple
 
Wew unazan huku home
Hatuupooz mzgo wako

Vijana wa dar mnachangamoto
Mwanaume unakuwa faith wakat uko mbali
 
Ukiazi umetoka wapi mkuu... Tushauriane kistaarabu tu mkuu

Sorry! Mizuka tu ya uandishi nikapitiliza

Ila mkuu usiwaze ngono fanya kilichokupeleka, au tafuta mmoja wa uhakika uwe unagegeDa.. hapo inakuwa fresh
 
Nakukumbusha: second chance never comes twice
 
Acha kulialia just do it man maana unajitunza na kinadhiri chako kumbe huku nyuma mchuchu wako una suuzwa daily na lijamaa
 
Vumilia tu mkuu, Linda kiapo chako. Ila ingekuwa Mimi hapo kwanza ningeenda nimejiandaa kugegeda ngozi za kimataifa.
 
Back
Top Bottom