Hii mnai-handle vipi wakuu

Hii mnai-handle vipi wakuu

Mkuu nyetoka, kusini sio salama.
Ukivunja ahadi utarudi huna ujasiri na mkeo atahisi kitu.
Epuka kuwa mzinzi wa Kimataifa mkuu
Thanks mkuu
Sasa naponaje na hii situation? Still two months to go
 
Back
Top Bottom