Hii mnai-handle vipi wakuu

Hii mnai-handle vipi wakuu

Ngoja madiaspora wenzio waje!
Humu sasa hivi tumejaa wanaume wa mikoani tu
 
Ni mwezi wa pili sasa nikiwa nchi jirani hapa ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara.

Ukweli pamoja na ratiba tuliyonayo ya siku kuwa busy, haisee upweke bado ni kero inayoninyima kuyafurahia maisha .

Nilijiapiza kuwa mwaminifu hadi ntakaporejea home kwa my sweet baby, ila kadri siku zinavyoenda nahisi nadhiri hii uenda istekelezeke.

Nimemiss kumuona my love akinishika vidole, uku aniangalia usoni akinisemesha vijineno vile.... Bae umenikunja leooooo........kidume hapo self esteem inapaa mpaka mbinguni.

Kadri navyommiss ndivyo nyege zinavyoninogesha.... Bad thing mtaa tuliobase huku tunalazimika kupata vyakula sehemu za public zenye kila aina ya uumbaji wa Mungu...... Najua mmenielewa

Ni hayo tu wakuu *******

Hebu tushirikiane kupeana uzoefu kwenye hali kama hizi , mliwezaje kulejea salama home bila kuvunja viapo

Ladies ushauri wenu pia utanisaidia ku-nevigate in this situation

# upweke unabore ile mbaya #
NUNUA DILDO MAAM!
KAMA WEWE NI KE NUNUA DILDO
KAMA WEWE NI ME... Mwombe YESU AKUPONYE
 
Kuna mtu kakuuliza; Je umewahi ingizwa jela?? Naongezea, tena kwa kutekwa ka MO? Ungei handle vipi?? Halafu ukute safari umeenda wiki tu tiyari macho 100 mia.
Hebu fikiri; huyo mkeo ni mtu au mdolly hata asisikie genye ka wewe?? Unapowaangalia hao vicheche naye pia anatuangalia sisi jirani zako na kuukumbuka mtarimbo wako. Wataka nasi tujipitishe dirishani kwako?? Acha mawazo potofu utapona. Fuata kilichokutoa kwa mkeo
 
ona kama wote wana ngoma utarudi salama na nyege zitarudi nyuma
 
Back
Top Bottom