Hii mnai-handle vipi wakuu

Hii mnai-handle vipi wakuu

Notable wisdom
Kuna mtu kakuuliza; Je umewahi ingizwa jela?? Naongezea, tena kwa kutekwa ka MO? Ungei handle vipi?? Halafu ukute safari umeenda wiki tu tiyari macho 100 mia.
Hebu fikiri; huyo mkeo ni mtu au mdolly hata asisikie genye ka wewe?? Unapowaangalia hao vicheche naye pia anatuangalia sisi jirani zako na kuukumbuka mtarimbo wako. Wataka nasi tujipitishe dirishani kwako?? Acha mawazo potofu utapona. Fuata kilichokutoa kwa mkeo
 
Sijcheka nimesikitika tu
Ahsante naona tupo chama moja, ref ur ID.
==
Why me Davinci?
FB_IMG_15401447398487623.jpg
 
Mkuu unatakiwa uwe una mawe ya kutosha ili kila mwezi uwe unakuja kumsabahi mpenzi wako,vinginevyo zikikuzidi tumia waliopo karibu.
 
sasa mkuu na huko si wapo.?? embu tumia hao hao for the time being the ukirudi home unakuwa fresh..hao wakimataifa hawanaga mazoea saaaana kama hawa wa kwetu kinondoni..

au piga nyeto tu kama ukiona kula waliopo huko ni shida...Otherwise acha vyote fanya kilichokupeleka na usiwaze anasa tena!! Kiazi wewe
 
Back
Top Bottom