Hii miujiza imenitokea

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,237
Ndugu zangu habari za majukum,
Natambua uwepo wenu, Protocol imezingatiwa.


Jamani mimi tangu nilipo Amua kuwa mlokole ni miaka km 20 iliyo pita, na kuna vitu nilikuwa naona km ni miujiza kwangu, Hasa mchungaji anapo muombea Mgojwa na kupona, kiwete kutembea na mambo mengine yanayo fanana na hayo mambo ya kiimani

Hiyo nilichukulia km miujiza cha ajabu maisha yanavyo zidi kunibana hasa ki-uchumi imefikia sasa miujiza kwangu sio watu kuombewa na kupona Bali miujiza kwangu ni pale ninapo Kula chakula, kwangu kupata msosi imekuwa ni sehem ya Miracle


Jamani tuombeane tu
 
Ndooo mtu mwenye smart phone anaropoka haya mbele yangu,

Lazima tutafute mashahidi "" kwa kitakachotokea""
 
Bora wewe umelitambua hilo wenzako wengi bado wapo gizani,kila siku Kutwa kiguu na njia kutafuta makanisa yenye Miujiza badala ya kumshukuru Mungu kwa kile walichonacho yaani Uzima maana huo ni muujiza tosha.
 
Mwisho wa matumizi ya viloba ni tarehe 1 March.
Labda ngoja niendelee kisoma comments, pengine nitaelewa huko mbeleni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom