Kwani huyo mtoto yupo kwenye mitandao ya kijamii, kumtia moyo ni kumpost kwenye mitandao ambayo kwanza hata hayumo!!!!Hujuia tu huyo Mtoto atajiskia raha sana na kama akiwa na Mzazi wa namna hio anayem-motivate mtoto wake LAZIMA dogo atafika mbali sana sana, namuombea kwa MUNGU wapuuzi wasije wakamtia mimba. Kama usipo-appreciate the liitle things they do hawatakua na jambo la kujifunza daima. Mtie moyo, mweleze kuwa anaweza kuwa vile anataka, usimkatishe tamaa. usimtishe.
Sawa....atoto aka espyNashukuru sana.
hapana mkuu,kuna njia nyingi za kummotivate mtoto ila sio kwa mtandaoni kama ivi,sio vema sana mana kesho na kesho kutwa hiyo picha watu watapost sehemu ambayo si salama au mtu akiidownload.huyo mzazi nadhani hana elimu ya kutosha kutambua alilolifanya au kutenda.Hujuia tu huyo Mtoto atajiskia raha sana na kama akiwa na Mzazi wa namna hio anayem-motivate mtoto wake LAZIMA dogo atafika mbali sana sana, namuombea kwa MUNGU wapuuzi wasije wakamtia mimba. Kama usipo-appreciate the liitle things they do hawatakua na jambo la kujifunza daima. Mtie moyo, mweleze kuwa anaweza kuwa vile anataka, usimkatishe tamaa. usimtishe.
haha mkuu,uko vizuri...maana naona wote tuliocomment hapa,kuhusu hilo hatujalisema...afu tunajikutaga great thinkers tunaelewa..kumbe hapo tunapaswa tumshaur huyo mzazi au ajue kama mtoto wake sio monitor bali monitress.Monita mtoto wa kike duh.