Hii mitandao ya kijamii inanitia aibu tu

Hii mitandao ya kijamii inanitia aibu tu

Kwani mzazi na mtoto hawaishi pamoja?
Mzazi na mtoto hutumia mtandao huo kuwasiliana hadi mzazi ampe mwanae pongezi kwa njia ya mtandao?
Wazazi wengine bhana!!
 
Mkuu huyu monita au monitress , naye mwenywewe anashangaa kupongezwa kwa cheo sio chake

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hata mbuyu huanza kama mchicha mie nilikuwa natamani kuwa monitor lakini sikuwahi hata kuwa nominated umonitor mzuri unaandika majina ya wapiga kelele wkt wewe una uwezo wa kuongea muda wwt unaotaka. Hongera sana binti.
 
Nilikuwa monitor kuanzia la pili hadi form six
 
Back
Top Bottom