Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Dec 12, 2011 #21 heart said: :lol::lol:umenivunja mbavu excellent...! Comment yako imeenda sawia na alichokisema mdada hapo juu...dah! Click to expand... sijawlewa ex!
heart said: :lol::lol:umenivunja mbavu excellent...! Comment yako imeenda sawia na alichokisema mdada hapo juu...dah! Click to expand... sijawlewa ex!
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,341 Dec 12, 2011 #22 flora msoffe said: sijawlewa ex! Click to expand... sasa utafanyaje....wanasema chelewa chelewa mwana si wako....halafu....haraka nyingi huzaa mwana mwenye makengeza
flora msoffe said: sijawlewa ex! Click to expand... sasa utafanyaje....wanasema chelewa chelewa mwana si wako....halafu....haraka nyingi huzaa mwana mwenye makengeza
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,712 Dec 12, 2011 #23 flora msoffe said: sijawlewa ex! Click to expand... Tizama vizuri typing errors zako...excellent amejibu kulingana na wewe ulivyoandika.
flora msoffe said: sijawlewa ex! Click to expand... Tizama vizuri typing errors zako...excellent amejibu kulingana na wewe ulivyoandika.
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 31,185 Reaction score 18,202 Dec 12, 2011 #24 ukubwa wa pua si wingi wa kamasi
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Dec 13, 2011 #25 excellent said: sasa utafanyaje....wanasema chelewa chelewa mwana si wako....halafu....haraka nyingi huzaa mwana mwenye makengeza Click to expand... hihihiiii ngoja nlale lol
excellent said: sasa utafanyaje....wanasema chelewa chelewa mwana si wako....halafu....haraka nyingi huzaa mwana mwenye makengeza Click to expand... hihihiiii ngoja nlale lol
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,722 Dec 13, 2011 #26 heart said: tizama vizuri typing errors zako...excellent amejibu kulingana na wewe ulivyoandika. Click to expand... hahahahahahihihiii si mimi ni kasim kamchina kamekosea kana batan ndogo na mie nina vidole vipana! Ulimi unateleza ijekuwa cm ya mchina lol
heart said: tizama vizuri typing errors zako...excellent amejibu kulingana na wewe ulivyoandika. Click to expand... hahahahahahihihiii si mimi ni kasim kamchina kamekosea kana batan ndogo na mie nina vidole vipana! Ulimi unateleza ijekuwa cm ya mchina lol
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Dec 13, 2011 #27 kwa nini ikuchoshe mkuu??? au ndio Asiye na mengi ana machache. usichoke kwani maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge. na pia palipo na wengi hapahalibiki neno.
kwa nini ikuchoshe mkuu??? au ndio Asiye na mengi ana machache. usichoke kwani maji ukiyavulia nguo sharti uyaoge. na pia palipo na wengi hapahalibiki neno.
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Dec 13, 2011 #28 kikahe said: Kwani yanaonekana? Click to expand... yapo au wee unayawekaga wapi ya kwako?wengine tunafukia ukiyamiss unafukua
kikahe said: Kwani yanaonekana? Click to expand... yapo au wee unayawekaga wapi ya kwako?wengine tunafukia ukiyamiss unafukua