stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,106
kwel mimi nakithamini sana kiswahili ila misemo yake inanchosha sana tena si kidogo! Utakuta msemo huu unasema
¤haraka haraka haina baraka, mwingine
¤polepole ndio mwendo, mwingine
¤ngojangoja yaumiza matumbo, mwingine
¤chelewa chelewa unamkuta mwana si wako. Nimekanganywa nayo! Mwenzangu wew waonaje?
¤haraka haraka haina baraka, mwingine
¤polepole ndio mwendo, mwingine
¤ngojangoja yaumiza matumbo, mwingine
¤chelewa chelewa unamkuta mwana si wako. Nimekanganywa nayo! Mwenzangu wew waonaje?