Hii mimba itakuwa ya nani?

Acha upumbavu wako wewe..Et "Rafiki yangu" wakati ni wewe mwenyewe. Ngono haina tuzo, Mpumbavu mkubwa wewe!
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Hii ni Jf sio insta kama hujaelewa nambie nikueleweshe
NB:ngono Ina tuzo nayo ni moja tu
ambayo ni mimba
 
Sema ni weww tu
 
Inategemea kijana yupi mwenye helaa kati yaooo..ila B ndo mwenye mtoto mimba apewee yeyotee
 
Kuna mwamba hapo juu kusema huyu binti ni mjasiria uchi
 
Kwanza huu ni mzunguko wa siku 28. So Mimba iliingia tarehe 20. Ambayo ilikuwa siku 15. So kuna possibility kubwa ovulation ilitokea siku ya 14 ambayo ilikuwa tarehe 19. Tarehe 16 ilikuwa siku ya 10 na aliendelea hadi siku 11 ambayo possible ovulation haikutokea. Na kama ingekuwa ilitokea p2 ingefanya kazi. So mtoto ni wa kijana B aliyekutana tarehe 20.
 
Aise unajua kukigawa icho kidudu chako!
Kwaiyo unataka Kujua ni ya nani?
Fanya hivi waite wote A na B waulize ni ya nani yaani waeleze ulivyotueleza,
RAHA ULE MWENYEWE HUKO UJE USUMBUE WATU HUKU,ulivyokuwa unatanua miguu SI tulikuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ