Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,952
- 56,146
Matikiti. Karibu sanaMnalima kitu gani kipindi hiki cha kiangazi?
Matikiti. Karibu sanaMnalima kitu gani kipindi hiki cha kiangazi?
HahahaMsako mkali ,pole pole kaonekana uko
Sio kanisani kwa Gwajima kweli!?Hii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?
Poleni sana.. Huku nanjilinji tunaendelea kulima
Tunalima Matikiti. Karibu sanaMnalima au mnavuna Mbaazi
Labda Traore style imepiga hodi TanzagizaHii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?
Milio imerindima kama dakika 10 hivi unasema tairi imepasuka!!!Wanaume wa Dar mlivyo waoga sasa, hapo tairi ya gari imepasuka tu mnasema milipuko
Kama ni matairi mengi je? Si unajua ubungo inapita mi semi kibao?Milio imerindima kama dakika 10 hivi unasema tairi imepasuka!!!
Chadema wanakinukishaHii milipuko inayosikika eneo la Ubungo ni nini?
Hayo ni maombi kutokwa kwa Gwajiboy &co yanapasua anga na kuvunja nguvu za adui!Akina Gwajima nini wanapinga deni la Trillion 107?
Aitwe Luca Mushambwa na Mushamba watuambie neno!Chadema wanakinukisha
Uncledady chimama anakusalimiaHapa ubungo mining tuna utaratibu wa kufanya "independent blasting" labda