Hii mikasa inanipata mimi pekee?

Hii mikasa inanipata mimi pekee?

makubaliano ni mimi kufanya kazi na yeye kunilipa mshahara, lakini nlipoona analimbikiza miezi nilimuuliza akasema hamna shida atanilipa hela yote bila shida, nlimuamini kwa kuwa ni mtu na heshima zake za juu tu, lakini saivi kanichenjia
Utamuaminije mtu bila maandishi na wewe kama msomi wa shahada? watu wa kawaida wanajifunza nini kutoka kwako kama hakuna written agreement/document? mfano ingetokea akafa japo hatuombei, nani angetambua makubaliano yenu ya mdomo?
 
Pole sana maisha kitendawili hakuna aijuae kesho yake jitahidi kumshirikisha MUNGU zaidi kwenye biashara zako afu pia usifanye biashara haramu ya pombe bora ujikite kwenye biashara ya mazao
 
Dah kaka una washaur wabaya ever... katika historia yako pale tu ulipopata nafasi ya kubaki na kupata nafas ya kuingia jw a watu wakakwambia uendelee na uchuo ni uchawi tosha... by the way.. pole bro.. matatizo ni ya kwetu.. hapo amna namna ni kumfungulia Madai tu na ikiwezekana na tort juu
yaani namhurumia sana huyu jamaa, maana nikiamua kumwanika madudu yake hana kazi kwa mkulu Ila namlindia heshima tu.
 
Dah kaka una washaur wabaya ever... katika historia yako pale tu ulipopata nafasi ya kubaki na kupata nafas ya kuingia jw a watu wakakwambia uendelee na uchuo ni uchawi tosha... by the way.. pole bro.. matatizo ni ya kwetu.. hapo amna namna ni kumfungulia Madai tu na ikiwezekana na tort juu
Dahhh
 
Pole sana maisha kitendawili hakuna aijuae kesho yake jitahidi kumshirikisha MUNGU zaidi kwenye biashara zako afu pia usifanye biashara haramu ya pombe bora ujikite kwenye biashara ya mazao
nashukuru mkuu
 
We Jamaa kilichokuponza ni kulidhika kushika Pesa za Mtu mwingine na kulala nazo ghetto. Ukahisi kama ni zako.
Huwezi kukataa kuwa ulikuwa humpigi ganji. Itakuaje Mtu akupi mshahara halafu uwe umelidhika kama nawe hauli ganji? Hata kama una miradi yako pembeni haiwezekani.

Boss wako anakufikiriaje akikuona una Pikipiki, Grocery na umeoa wakati akupi mshahara?
 
soma vizuri Uzi wangu ujue nilitoa wapi, sikuwa masikini kiivo mkuu nlikuwa na vipesa vyangu asee
 
Nimesoma mwanzo mpaka mwisho sijaona mkasa uliopata hata mmoja tofauti na kichwa cha uzi wako kinavyosomeka!!. Sana sana nimeona wewe ni mmoja ya watu wenye bahati sana.. tena bahati ya kupata kazi kiurahisi sana!!.. unapata kazi unaacha unapata nyingine unaacha!! Hii ndio unaita mikasa kweli?? ..hebu kuwa serious mzee!!!..
 
Kwanza pole kwa kuondokewa na wazazi, kwa upande wa ushaur" undugu na ujamaa weka kando dai haki yako ili uweze kupata haki yako.
 
Achana nae huyo kaka yako maana kama ameamua kukudhulumu hata ukimshitaki wapi atakubambikia kesi ya wizi akukomoe zaidi....

Acha kazi kwake endelea na mishe zako, huyo mkeo kama ni mama wa nyumbani basi muweke hapo grocery aendelee kusimamia, wewe chukua hyo pikipiki ingia mtaani kama boda boda ukiongeza kipato huku unatafuta kazi sehemu tofauti tofauti. Mtumainie Mungu na umsamehe huyo dhulumati na utaona Mungu atakavyokuinua mkuu. Usikate tamaa wala kulalamika, pambana kiume utawin tu nafasi bado unayo
 
Huyo jamaa anaroho ya kutu aseeeh.. yeye inaonekana ni wa kutumia watu tu hasa ndugu zake kwa faida yake na hili ungelielewa mapema kabla ya kurudi mara ya pili.

Naamini hakuna njia moja ya kutatua tatizo moja. Ingekuwa mimi ningemfanyia haya.

1. Kulipeleka kwa wazee wa ukoo wanaoheshimiwa na ndugu zenu mlizungumze kwa undani. Ikishindikana...

2. Kwenda kwenye vyombo vya sheria hasa kwa kuanzia kwa serikali za mitaa ikiwezekana ni kiongozi basi ataona aibu yakishindikana fungua kesi.

3. Kama nipo position ambayo nashika pesa za kampuni ningejilipa tena zaidi ya ninachomdai ili aonje niliyoonja.

Mimi kwenye ishu za kumdai mtu natumia ubabe..kama nakudai nakuja kwako nakujabmisha nakupa siku 2 kwa hili nimefanikiwa kwa aslimia nyingi.
Mtishie Kaka kuwa utavujisha kwa Mkulu wa magogoni
 
Broo kuna watu wenye roho mbaya sana Ila ukimuona akijinasibu ITV you can't believe if he would be a such devil!!
Nakushauri achana naye usimpeleke kwenye vya dola wala kwa wazee anza upya kwakuwa it is not too late kuanza upya.
Mkianza vutana utapoteza muda na utasababisha ugomvi mkubwa na alivyo na nafasi serikalini anaweza kukuharibia sehemu kibao
 
Pole sana kwa msiba wa wazazi,ila usiuze asset...matatizo hayatatuliwi kwa kuuza assets inatakiwa uitumie kutatua matatizo.
 
Back
Top Bottom