mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,354
- 23,084
Ni wazo zuri lkn je ana mkataba wa hyo kazi anayoifanya?mshitaki !pole usikate tamaa
Ni wazo zuri lkn je ana mkataba wa hyo kazi anayoifanya?mshitaki !pole usikate tamaa
Ila chief kama ulimsoma dogo between the lines amesema waligawana na dadaye kidogo kilichoachwa na wazazi wao akaanzisha biashara ambayo ilikuwa inasonga fresh na jamaa kabla hajamuajiri alimuona nahiko kidogo chake akiendeshea maisha yake,kuwa na pikipiki sio hoja Tanzania ya leo ukiwa hata na lak7 unapata pikipiki na kama nimemuelewa hata kama angekuwa anachukua faida ya grocery na kununua hiyo chombo ni jambo linalowezekana hofu ingekuwa kama angekuwa na IST au Spacio,huyo kaka yake wa kufikia nae ni mmoja wapo wa maskini tu asiyejua utu wa mtu nini...mtu unayeweza kuzungusha hadi 40mill sio wa kuwa na roho ya kudhulumu yatima kama huyu tena damu yako hata ukijua alikupiga unakausha kiutu uzima ili kuepuka laana watu pesa tunazitafuta tunajua mkuu!We Jamaa kilichokuponza ni kulidhika kushika Pesa za Mtu mwingine na kulala nazo ghetto. Ukahisi kama ni zako.
Huwezi kukataa kuwa ulikuwa humpigi ganji. Itakuaje Mtu akupi mshahara halafu uwe umelidhika kama nawe hauli ganji? Hata kama una miradi yako pembeni haiwezekani.
Boss wako anakufikiriaje akikuona una Pikipiki, Grocery na umeoa wakati akupi mshahara?
nashukuru mkuuNakushauri achana naye usimpeleke kwenye vya dola wala kwa wazee anza upya kwakuwa it is not too late kuanza upya.
Mkianza vutana utapoteza muda na utasababisha ugomvi mkubwa na alivyo na nafasi serikalini anaweza kukuharibia sehemu kibao
ntaufanyia kaz huu ushauriAchana nae huyo kaka yako maana kama ameamua kukudhulumu hata ukimshitaki wapi atakubambikia kesi ya wizi akukomoe zaidi....
Acha kazi kwake endelea na mishe zako, huyo mkeo kama ni mama wa nyumbani basi muweke hapo grocery aendelee kusimamia, wewe chukua hyo pikipiki ingia mtaani kama boda boda ukiongeza kipato huku unatafuta kazi sehemu tofauti tofauti. Mtumainie Mungu na umsamehe huyo dhulumati na utaona Mungu atakavyokuinua mkuu. Usikate tamaa wala kulalamika, pambana kiume utawin tu nafasi bado unayo
HahahahaNdo umlipe pesa zake sasa
Sijaona mkasa wowote hapo.
Kama kufiwa na wazazi kila mtu anafiwa.
Malimbikizo ya mshahara mbona kitu cha kawaida sana.
Jeshi linakuita unakataa kwenda.
Unamaliza Chuo unapata ajira una iacha.
Unalala na Milioni 40 ghetto halafu unalalmika kutapeliwa.
Pompoma fala kabisa wewe