nliigundua hii mifumo ya uchezaji miaka mingi iliyopita baada ya kuona kupiga pasi fupi fupi au kupiga magoli menngi kunaweza pia kuharibu afya ya wewe mwanaume mchezaji. so hapo likaja wazo la kucheza formation moja nzuri ambayo inakuhakikishia heshima na ushindi kila wakati huku ukibaki na nguvu ya kuchez amechi hata nne kwa siku.
long pass. hiiunapokuwa unafanya mapenzi na mke/mwenzi wako unachukua muda mrefu kumaliza humalizi haraka haraka. unaweza chukua hata dk 40 kulingana na mwenzio anavyohitaji anapokuruhusu umalize basi mnamaliza pamoja kwa furaha. inaitwa long pass.hii inakuacha ukiwa bado na nguvu nyingi na unawea cheza game nyingine tena na tena na team ile ile au kama unataka kucheza mechi mbili au tatu na team tofaut tofaut.
double click. hii ni pale unapopiga two in one na sometime hata 3 kutegemeana na mhusika ambaye una mclick unapokuwa unapiga game unapomaliza usimalize yote katisha njiani then utakuwa umemaliza kidogo na hamu haijakuisha. mashine inabaki bado ina charge wakati huo huo unaendelea kupiga show bila kutoa au kuhamisha mawazo. hii huwa naipenda pale napocheza ana demu mgeni na ambaye ni mtamu sana na sitaki kumwachia mapema na hapo kila napotaka kumaliza nakatisha au namaliza kidogo naendelea na game ndani kwa ndani.
hii mifumo yote inaanzia kwenye saikolojia. hilo ndo jambo la muhimu sana ambalo wanaume wengi hatulijui. tunadhan wakati mwingine kuwa kuna kitu special sana ambacho wanaomaliza muda mrefu wanakuwa nacho. mbali na kula vizuri na kushiriki mazoezi saikolojia ina nafasi kubwa sana katika jambo hili. uwezo wa kumaliza mapema upo kwa watu wawili. 1. mwanaume na 2. mwanamke unayefanya naye.
1. mwanaume ukiweza ku control hisia zako unaweza kaa muda mrefu bila kumaliza. kama hautaweka akili tendo la kumaliza.ikawa unapiga issue huku unafikiria jambo lingine au unafikiria tu kuwa unatakiwa uchukue muda mrefu then kuna uwezekano wa kuchukua muda mrefu zaidi kuliko ukiwa unawaza kumaliza tu kitendo
2. mwanamke. kuna wanamke wanajua kuweka mshawasha na usipokuwa makini unaweza jikuta unamaliza mapema sana. pia kuna ambaye ni so cold unaweza piga hata masaa mawili usimalize maana yu dont feel kabisa.
TAHADHALI: MIMI NATOA USHAURI TU NA PIA KUPOKEA USHAURI SI KWAMBA NI MJUZI WA HAYA MAMBO. Akina dada msinitafute.