Clarity
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 1,587
- 2,102
Ni plastic na haiozi na ikitokea imemezwa na mnyama ina madhara kama mifuko mingine
plastiki au sio plastiki
plastiki au sio plastiki
SOMA KANUNI ZAKE KWANZAsikia kwa makini wamekataza mifuko ya plastiki,lakini hawajakataza vifungashio vya plastiki,hivyo wametenga maeneo ambayo kila mwenye mabaki ya vifungashio au mifuko ya plastiki,wapeleke hapo kwa ajili ya kuteketezwa