Umeme unakaribia kuja nipeni jibu jamani
Si usubiri umeme uje ndo utajua ikiwa unapita. Sasa sisi tuko mbali tutajuaje?
Pambav kabisa wewe unacheza na umeme unadhan ni taa ya kandili (chemli)
Wataalam, nimeunga kimita cha kusoma unit ninazotumia kama unavyoona kwenye picha, wire mwekundu mkono wa kulia unaingiza umeme kwenye mita, huo hizo nyekundu zinazofuatia zilizobebanishwa zinatoa umeme kwenye mita, wire mweusi unaofuata baada nyekundu unaingiza umeme kwenye mita, na hizo nyeusi za mwisho zilizobebanishwa zinatoa umeme kwenye mita.
Je nimepatia?