Hii menu tulio wengi tuliililia sana.

Mwanamke akishajifungua na kunyonyesha pia panakuwa hakuna msisimko tena hapo....
 
Mtu hadharau cha asili, mimi mpaka sasa namaindi menu hii!

sio wewe tu wengi wao wanamaindi hii kitu si umeona comment zao kitu cha afya icho apana kuchakachuliwa hicho orijinali asikwambie mtu.
 
Mama ni mama jamani... Uwezo wa kukulipa sina! Kwa tabu ulininyonyesha.... Namwomba Mungu akupe uzima.... Mama huyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…