Hii menu tulio wengi tuliililia sana.

kunyonywa rahaaaaa mpwaaa............ Mkereketwa_Huyu
0F83DCB5-71F0-40B4-B7B6-BBD3F6481E64_mw1024_n_s.jpg

umenitamanisha kuzaa aiseee daaah kunyonyesha raha sana hasa kachanga hivo sio yule anakwambia mama kaa ninyonye hapo katoka nursery looh
 
Mwanamke akishajifungua na kunyonyesha pia panakuwa hakuna msisimko tena hapo....
 
Mtu hadharau cha asili, mimi mpaka sasa namaindi menu hii!

sio wewe tu wengi wao wanamaindi hii kitu si umeona comment zao kitu cha afya icho apana kuchakachuliwa hicho orijinali asikwambie mtu.
 
Mama ni mama jamani... Uwezo wa kukulipa sina! Kwa tabu ulininyonyesha.... Namwomba Mungu akupe uzima.... Mama huyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom