'Hii mboga itatosha'??

'Hii mboga itatosha'??

Hahahahahahahaha... Dada Paloma unamwona mumeo alivyokuwa mdogo!??lol

etu tupe za akiwa mkubwa...

sosoliso wit popcorn.jpg

shemeji Mentor au unataka ya uzeeni..?
 
Simple engineering solution; Ratio ya 4:1

= Matonge 4 kwa Mboga 1
mkuu LexAid, nikipiga mahesabu ya hiyo ratio naona kama tonge moja litakuwa kama kilo 1.5 hivi. Kumbuka liugali hilo halina hata glass ya maji au ndicho dogo alikuwa anakumbuka?
 
Yaani umenichekesha sana wewe. Duuuh kama nakuona.
Lily Flower, unaijua ile staili ya kula ugali unakata tonge kuubwa linajaa kiganjani. Unaliviringisha halafu unaligawa, kipande kimoja kinashikwa na dole gumba na kingine kinabaki kiganjani. Halafu unaanza kulimega kavukavu hadi linapungua. Kipande kinachobaki unakiviringisha halafu unatoboa tundu kubwa pale katikati, unalijaza mchuzi halafu unalirushia mdomoni. Mwendo unakua ni huo huo hadi ugali unaisha. Ukipiga hivyo mara tatu tu umeshashiba.

Staili hii hutumika kama watu mko wengi halafu mnakula ugali kwenye sahani moja na mboga kwenye bakuli moja, hasa kama ugali na mboga ni kidogo.
 
mkuu LexAid, nikipiga mahesabu ya hiyo ratio naona kama tonge moja litakuwa kama kilo 1.5 hivi. Kumbuka liugali hilo halina hata glass ya maji au ndicho dogo alikuwa anakumbuka?

Usimzarau dogo lakini....Saizi ya matonge yake kama ya Babaubaya!
 
Yaani umenichekesha sana wewe. Duuuh kama nakuona.
King'asti ukija huku kwetu uswazi tunakoishi uandae mbavu za kucheka. We utaona vichekesho lakini sisi ndio maisha yetu ya kila siku.

Ila kwenye hiyo staili inabidi uwe na spidi ya kula. Maana unaweza ukajikuta umebaki na tonge lako lile lile ukitahamaki sahani tupu...lol!
 
Back
Top Bottom