mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,417
- 8,401
Akae na fire extinguisher. Maana kinachofuata mhhh.Kaeni chini na huyo mpishi it seems mna mgogoro maana sio kwa mapishi hayo aliyokupikia.
Akae na fire extinguisher. Maana kinachofuata mhhh.Kaeni chini na huyo mpishi it seems mna mgogoro maana sio kwa mapishi hayo aliyokupikia.
Kuna nyanya chungu pia.Mmmh sijui nazeeka!! mbona mie sijaona mbga kwenye hiyo picha? Yaani mie nimeona dagaa tu
Ameuliza madini Mkuu, Sasa Protini sio madini chifu.Inaonekana umeila mfululizo sio bure ni ama huipendi au unataka kupata uhakika ili uhakiki taarifa fulani
Mkuu inaongeza protein hiyo.
SureUte kwenye viungo na maungio
Jr
HukohukoAmeuliza madini Mkuu, Sasa Protini sio madini chifu.