Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 14,971 Reaction score 21,061 Nov 15, 2021 #21 Project ya utafiti inakulawiti! Hatari sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,871 Reaction score 6,468 Nov 15, 2021 Thread starter #22 Sakasaka Mao said: Project ya utafiti inakulawiti! Hatari sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ๐ ๐ ๐ pesa hizi kaka๐ ๐ ๐
Sakasaka Mao said: Project ya utafiti inakulawiti! Hatari sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... ๐ ๐ ๐ pesa hizi kaka๐ ๐ ๐
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 14,971 Reaction score 21,061 Nov 15, 2021 #23 Joselela said: Watu wanaonyoa nywele zote kichwani sio wa kuwaamini. Tunatiana hasara tu na kutukosesha hela. Click to expand... Ungeenda enda kidogo kiudadavuzi, comment yako ni burudani sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Joselela said: Watu wanaonyoa nywele zote kichwani sio wa kuwaamini. Tunatiana hasara tu na kutukosesha hela. Click to expand... Ungeenda enda kidogo kiudadavuzi, comment yako ni burudani sana. Sent using Jamii Forums mobile app
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Nov 15, 2021 #24 Karibu mbeya ya wanyonge kuna sehemu umeme upo baadhi ya maeneo hamna hii nchi ina mengi ya kujutia kutoka kwa viongozi wetu
Karibu mbeya ya wanyonge kuna sehemu umeme upo baadhi ya maeneo hamna hii nchi ina mengi ya kujutia kutoka kwa viongozi wetu
Da Vinci XV JF-Expert Member Joined Dec 7, 2019 Posts 3,871 Reaction score 6,468 Nov 15, 2021 Thread starter #25 Mndali ndanyelakakomu said: Karibu mbeya ya wanyonge kuna sehemu umeme upo baadhi ya maeneo hamna hii nchi ina mengi ya kujutia kutoka kwa viongozi wetu Click to expand... Daah wakuu wanazingua
Mndali ndanyelakakomu said: Karibu mbeya ya wanyonge kuna sehemu umeme upo baadhi ya maeneo hamna hii nchi ina mengi ya kujutia kutoka kwa viongozi wetu Click to expand... Daah wakuu wanazingua
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Nov 15, 2021 #26 Da Vinci XV said: Daah wakuu wanazingua Click to expand... Sana hapa nina kazi zimekwama kisa umeme japo Leo wamewahisha kidogo
Da Vinci XV said: Daah wakuu wanazingua Click to expand... Sana hapa nina kazi zimekwama kisa umeme japo Leo wamewahisha kidogo
mashinetata JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 395 Reaction score 908 Nov 15, 2021 #27 Balvejmumt said: Kama Moshi wanakata sembuse huko Ulinkafu? Click to expand... Unafananisha jiji na halmashauri
Balvejmumt said: Kama Moshi wanakata sembuse huko Ulinkafu? Click to expand... Unafananisha jiji na halmashauri