donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
- Thread starter
-
- #81
Dela Kali zake mkuuSasa mie mvaa dera itakuaje
Hahaha, na kweli mkuu sijasoma mbumbumbu Mimi. Ifm napasikia tu kule f(x) hall, sijui airport,screen saver,Facebook, buloku c&d etc. Heri yako wewe uliyebukua, nafkiri ticha wako wa LW711 alikua KibachaHacheni kuaribu Biashara za wenzenu, nguo na ufundishaji n vitu viwili tofauti, kwani wao ndio wanawanunulia nguo?
Mbona mm nimesoma hapo tuition kuanzia form one 1996 wakati ipo shule ya Msingi mapambano, na mpaka inaamia kwa Mzee chilumba, then nyuma ya Nakiete.
Ukienda kwa mawazo yako ya kingono yatakuwa ya kingono tu, na ukienda na mawazo ya kishule utasoma tu.
Bila shaka wewe hata chuo ujafka ungefika usingeandika huu upuuzi maana hayo n mavazi ya kawaida sana vyuoni, tofautisha nguo na shule dogo!
Ukitoka nenda CBE na IFM ukaone vya wakubwa
Hahaha, mkuu haina shida nafkiri Mussa biteba bado ni MD wa paleNani mkuu wa hiyo senta niombe kazi ya kufundisha hisabu na uchumi au hata komasi na bukipingi.
Naahidi kufundisha bure kabisa maana najua hataweza kunilipa mshahara, mshahara wangu utakua hizo teaching incentives, payment in kind..
Mkuu kama unamjua mkuu wa hiyo senta mwambie mwalimu wa bure yupo anataka kujitolea kufundisha, anaweza kufundisha uraia,uhasibu,hisabati,uchumi na geog kuanzia kidato cha kwanza hadi sita bureeeee.
Somo gani mkuu ulipiga pale makongo? Mwak a ganiPoa poa kaka, napaelewa sana pale mapambano. Ilibidi hiyo tuition nipige pale makongo sec.
Ni kweli mkuuNisingeweza maana hata ningekubaliwa nisingekuwa na ela ya kuhudumia.
Kwahiyo sisi tufanyaje mkuu??
Mbuga alikuwa mzuri kwa o level tu advance hakuwa fit.Huyo Mbuga kama alikuwa mkali basi kazeeka na Taaluma yake, uandaaji wa notes zenyewe ni mbovu sana.
Nenda shule za advance ratio ni 1/200 students anaetumia kitabu cha Mbuga.
Ndo maana hawa QT na Re-seaters wanaotafuta credit hawazipati. Huwa nathani kuwa NECTA inawabania ili kutoa onyo kwa school candidate ili waongeze bidiii.Kwa hayo yanayoelezwa watafaulu kweli?
Ndo huyohuyo...mwl wa hesabuKibamtura ninayemjua?
Unamuulizia na nani? Mimi najua nifanyeje, kama hujui sema KWA HIYO MIMI NIFANYAJE, ukisema sisi unanijumuisha na mimi. Na kama hujui jibu si ukae tu kimya?!
Umemjibu vyemaUnamuulizia na nani? Mimi najua nifanyeje, kama hujui sema KWA HIYO MIMI NIFANYAJE, ukisema sisi unanijumuisha na mimi. Na kama hujui jibu si ukae tu kimya?!
Hahaha, mkuu bwanaAda zinasumbua wanatumia fursa waliyo nayo,
.
Weka wazi yup aliye kukonga moyo maana huwa wapo sex kweli!!
Hahaha, kibamtura nimesoma nae aisee primaryNdo huyohuyo...mwl wa hesabu
Hahaaaaa mayoo nene nachaa
Hahaha, na kweli mkuu sijasoma mbumbumbu Mimi. Ifm napasikia tu kule f(x) hall, sijui airport,screen saver,Facebook, buloku c&d etc. Heri yako wewe uliyebukua, nafkiri ticha wako wa LW711 alikua Kibacha
Hahaha kweli mkuu ndo ma ticha wakeMtajie otaigo, koloseni, Tairo, nagunwa, mwachaka, bajuna,