Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Mkuu stori kama hizi bila picha ni Sawa na porojo tu. Hebu rudi tena pale Mapambano Piga picha watoto wa form One na form five &six . Tuone ukweli wa habari yako. Hapa mi naona kama umetuletea DIBAJI tuHabari za leo wakuu,
Mida flani hivi ya asubuhi bimkubwa aliniomba nikamlipie king'amuzi cha Star times pale Bamaga, basi nikaenda nikalipia fresh.
Wakati wa kurudi nikasema acha nipige andha kanoon (kutembea kwa miguu) hadi Mwenge. Basi nilipofika pale Nakiete building nikashawishika kukata ile kona niende Mapambano kumpa hai ndugu yangu bw. Mussa Biteba.
Ebwana eeeh, hii sio twisheni tena ni kama sehemu ya kabiashara fulani haramu na kituo cha vijana kuuza sura. Nilipishana na mabinti kadhaa eti ndo wanaingia pindi, dressing code nikajikuta kimoyomoyo nasema 'mayo nene nacha', nguo za kuvaa night clubs tena uwe na guarantee ya usafiri binafsi watoto wa kibongo ndo wametinga wanazama kubukua.
Ikabidi nisimame pembeni ni observe, kidogo ndo balaa likatinga, ebwana huyo sister kavaa kimini dzain hata akiangusha kalamu class hawezi okota kabisa, pembeni yuko na sijui ndio boy wake yule kavaa zile suruali wanapenda kuvaa wakongoman zile katikati linakua kama umejinyea hivi linatepweta.
Nikakumbuka enzi zetu za kwa hidden mchikidown, kwa Mbuge.. Nikasema kweli this is new school, I am way too old school (nikakumbuka msemo wa Danny glover kwenye lethal weapon akimwambia Mel Gibson 'am too old for this shit....').
Te teHe is good
Mkuu stori kama hizi bila picha ni Sawa na porojo tu. Hebu rudi tena pale Mapambano Piga picha watoto wa form One na form five &six . Tuone ukweli wa habari yako. Hapa mi naona kama umetuletea DIBAJIHabari za leo wakuu,
Mida flani hivi ya asubuhi bimkubwa aliniomba nikamlipie king'amuzi cha Star times pale Bamaga, basi nikaenda nikalipia fresh.
Wakati wa kurudi nikasema acha nipige andha kanoon (kutembea kwa miguu) hadi Mwenge. Basi nilipofika pale Nakiete building nikashawishika kukata ile kona niende Mapambano kumpa hai ndugu yangu bw. Mussa Biteba.
Ebwana eeeh, hii sio twisheni tena ni kama sehemu ya kabiashara fulani haramu na kituo cha vijana kuuza sura. Nilipishana na mabinti kadhaa eti ndo wanaingia pindi, dressing code nikajikuta kimoyomoyo nasema 'mayo nene nacha', nguo za kuvaa night clubs tena uwe na guarantee ya usafiri binafsi watoto wa kibongo ndo wametinga wanazama kubukua.
Ikabidi nisimame pembeni ni observe, kidogo ndo balaa likatinga, ebwana huyo sister kavaa kimini dzain hata akiangusha kalamu class hawezi okota kabisa, pembeni yuko na sijui ndio boy wake yule kavaa zile suruali wanapenda kuvaa wakongoman zile katikati linakua kama umejinyea hivi linatepweta.
Nikakumbuka enzi zetu za kwa hidden mchikidown, kwa Mbuge.. Nikasema kweli this is new school, I am way too old school (nikakumbuka msemo wa Danny glover kwenye lethal weapon akimwambia Mel Gibson 'am too old for this shit....').
Hahaha, poa mkuuMkuu stori kama hizi bila picha ni Sawa na porojo tu. Hebu rudi tena pale Mapambano Piga picha watoto wa form One na form five &six . Tuone ukweli wa habari yako. Hapa mi naona kama umetuletea DIBAJI
Ni private mkuuHivi Nakiete phamacy ni duka la serikali au nani? maana ni kubwa sana.
Dah! mwenye lile duka pesa anayo maana ni kubwa sana.Ni private mkuu
Watareseat hata miaka 10 nao watatoka na kupata shahada na stashahada, then watajiajiri nao kwa kufungua tuition centres.
Kweli mkuu, kama mmiliki wa MASSANA hospitalDah! mwenye lile duka pesa anayo maana ni kubwa sana.
Hhaaaaaa kibamtura...rubii Kiba hajambo?
Hahaaaa! Mkuu itakuwa jamaa kaingia kwenye anga zakoHacheni kuaribu Biashara za wenzenu, nguo na ufundishaji n vitu viwili tofauti, kwani wao ndio wanawanunulia nguo?
Mbona mm nimesoma hapo tuition kuanzia form one 1996 wakati ipo shule ya Msingi mapambano, na mpaka inaamia kwa Mzee chilumba, then nyuma ya Nakiete.
Ukienda kwa mawazo yako ya kingono yatakuwa ya kingono tu, na ukienda na mawazo ya kishule utasoma tu.
Bila shaka wewe hata chuo ujafka ungefika usingeandika huu upuuzi maana hayo n mavazi ya kawaida sana vyuoni, tofautisha nguo na shule dogo!
Ukitoka nenda CBE na IFM ukaone vya wakubwa
Hahaaaa! Mkuu itakuwa jamaa kaingia kwenye anga zako
HahahahahHahaaaaa mayoo nene nachaa
Kibamtura ninayemjua?Hhaaaaaa kibamtura...