Hii Mapambano Tuition Centre mmhh..!

Haaahaa! Nakumbuka 2010 nikiwa 6 nilikuja Dar likizo ndo nikaambiwa nitafute tuition, nikapeleka hapo mapambano, babaaa! nilipotoka pale breki ya kwanza ilikuwa bafuni ili nijichuwe. Sikurudi tena, nilisema mimi wa mkoani siyawezi haya.
ulikutana na nini mkuu
 
Joto limeongezeka, ili kupunguza madhara kwa akina dada ndo wanapatia 'advantage' ya kupiga vimini.
 
Hiyo mbona tangia kitambo inajulikana hapo wanaenda wauza sura tu
Wapiga mchimbo kwao mchikichini
 
Hao watoto wanatoka kwa wazazi wao na wamewaacha watoke hivyo, so tatizo sio hiyo tuition tatizo ni wao na wazazi wao
 
Dah mkuu hapo kwenye andha kanoon umenkumbusha mbal sana enz hizo tunaita hamza kanuni!utoto raha
 
Hao watoto wanatoka kwa wazazi wao na wamewaacha watoke hivyo, so tatizo sio hiyo tuition tatizo ni wao na wazazi wao
Kweli mkuu, but on other hands unakuta wazazi are not aware of their kids dressing code kwasababu wanadamka early in the morning na tuition hua ni kwanzia saa tatu lets say
 
Kilichonikuta ni kile mleta mada alichokisema, mi nilikuwa sijazoea kuona mapaja ya mabinti nje nje kiasi kile huko mkoani kwetu.
Ukabaki tu kaisiki nkwenda muno..... Akananakange kwishaba igonzi...
 
Teh teh hiyo Suruali anakuwa kama vile kajinyea inaitwa Balotel. Halafu hao wanaorudia mitihani na QT wapo kama vile wamelogwa maana upumbavu ule ule uliowafanya wafeli wakiwa full school ndio wanaurudia tena kwa kasi ya ajabu kabisa.
HALAFU WANATEGEMEA MATOKEO TOFAUTI NA WALIYOYAPATA AWALI...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…