Hii Mapambano Tuition Centre mmhh..!

nakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 2000 wazee wa Tambaza kijiji tulikuwa tunaenda Mchikdown kuingiza utirio halafu pale Mapambano tunaenda kung'oa watoto wakali maristita wale yaani walikuwa walaini tena ukiwaambia mimi niko Tambaza pichu inamaafuriko
 
nakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 2000 wazee wa Tambaza kijiji tulikuwa tunaenda Mchikdown kuingiza utirio halafu pale Mapambano tunaenda kung'oa watoto wakali maristita wale yaani walikuwa walaini tena ukiwaambia mimi niko Tambaza pichu inamaafuriko
Hahahahahahaha
 
Ulimwengu huu wa leo umajaa vijana mazuzu/mazezeta mengi mno.Hapo ni mfano tu mkuu.Lakini kimsingi mazuzu yapo mahala pengi,na ajabu zaidi mpaka vyuoni wapo.
Yeyote yule anayefanya mambo ya hovyo;yanayodhalilisha utu wake kwa kudai anakwenda na wakati,na anajua fika kabisa kuwa anadhalilika lakini bado akang'ang'ania kulifanya;huyo ni ZUZU bila ya kujali elimu yake.
 
Teh teh hiyo Suruali anakuwa kama vile kajinyea inaitwa Balotel. Halafu hao wanaorudia mitihani na QT wapo kama vile wamelogwa maana upumbavu ule ule uliowafanya wafeli wakiwa full school ndio wanaurudia tena kwa kasi ya ajabu kabisa.
Ni upumbavu wa kiwango kilichotukuka.
 
Hidden agenda property!
 
Hahahaa pole mkuu.

Mbuge = Mbuga. Mkali wa biology enzi hizo.
Huyo Mbuga kama alikuwa mkali basi kazeeka na Taaluma yake, uandaaji wa notes zenyewe ni mbovu sana.
Nenda shule za advance ratio ni 1/200 students anaetumia kitabu cha Mbuga.
 
wazee ea table teaching hao. Ticha Amos na alikuepo jamaa moja kitambi cha bia na nyamachoma anaitwa kassim miaka ya 2011mzee wa theory of firm na topics zote za micro economics advance. sijui kama bado yupogo hiyo mitaa. kiukweli dah mapambano tc ni jipu. [emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
Haaahaa! Nakumbuka 2010 nikiwa 6 nilikuja Dar likizo ndo nikaambiwa nitafute tuition, nikapeleka hapo mapambano, babaaa! nilipotoka pale breki ya kwanza ilikuwa bafuni ili nijichuwe. Sikurudi tena, nilisema mimi wa mkoani siyawezi haya.
 
Couldn't agree more mkuu, well said
 
Hahaha, umenikumbusha mbali mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…