Hii Manati ina kazi gani?

Hii Manati ina kazi gani?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Ya kutungua ndegee...hata kunguru pia nao ni kikwazoo! Sema hayo manati hapo jamaa akiweka goroli akivutaaa kama ana shabahaa wafaaa...
Askari wengi wa Magereza wana shabaha sana. Mfungwa akikimbia risasi mbili tu kwisha kazi. Nadhani shabaha ni kigezo kimoja wapo.
 
Back
Top Bottom