Hii Manati ina kazi gani?

Hii Manati ina kazi gani?

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Moja kati ya matukio ya leo katika kesi ya Freeman Mbowe ni huyu askari wa KM ambaye amejikoki sana kwa utayari wa lolote lile. Katika silaha mojawapo aliyokuwa ni hii manati, kazi yake kubwa ni nini?

Kweli karne hii ya 21 askari wetu tena special force anategemea manati? Sijaelewa...
20181130_202926.jpeg
 
View attachment 951767
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]Ya kutungua ndegee...hata kunguru pia nao ni kikwazoo! Sema hayo manati hapo jamaa akiweka goroli akivutaaa kama ana shabahaa wafaaa...
 
Kwa nyie mnaozoea kushutumu kuwa silaha za moto moto zilitumika, na visu vikachana watu, hiyo manati ukitumia gololi ni mbaya kuliko AK47. Unavimbiana ndani kwa ndani na kutembea huwezi.
Ndo mana kuna silaha ambazo hutumia risasi za gololi na mpira.hizo wanapigwaga sana wale wanaojifanya kuandamana.sasa ni sawa na manati tu hizo
 
Back
Top Bottom