Hii make up ni next level!

Akifanana na kingwendu wakati katoa ulimi nje hapo itakuwa wazi kuwa kipaji anacho.
 
Mimi mwenyewe naweza jipaka nikafanana na Beyonce Niki minaji na masoud sura mbaya..asitubabaishe[emoji41]
Hapo ndio wabongo tunapokwama..kama una hii talent ioneshee mama..usiiache ipotee..talent inalipa kuliko kitu chochote.
 
Make up ipo k.koo ule mtaa wa vipodozi msimbazi kule

wadada wanapigana make up road hawana habari na mtu

wale ukitaka hata wakufanye wassira wana huo uwezo arif
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…