Hii Logic ipo sahihi..?

City centre ipi tz haina msikiti? Hizo sehemu zilikuwa na wakazi kitambo zats y zikatengenezwa nyumba za ibada
Mkuu namaanisha Exactly center of the city, yaani pale ambapo vipimo vinaonyesha kwamba hapa nikiyovu/ kati ya mji. Mimi najua kwa makanisa tu misikiti mnieleze
 
Makanisa ndiyo chimbuko la miji uliyoitaja, wazungu walipofika walijenga makanisa na ofisi zao na miji ikaendelezwa kuanzia hapo.
Mkuu wazungu walipokuja moshi walifikia rombo kutokana na mazingira na miaka hiyo old moshi ndio ilikua mjini ila kote huko hakuna Cathedral, see kigezo sio mji umepanuka wapi balj waliangalia wapi ndio katikati ya mji.
 
Wajerumani ndo walileta kanisa katoliki?
 

Logic muda wote ipo sahihi because it is the correct and systematic reasoning of something. Labda ungetumia neno jingine kuuliza swali lako.
 

normal church makanisa mengi hayo ni makubwa sana kuliko matawi yake,na yana miaka mingi unasemaje yamepewa ujimbo baada ya kukua???
 
Kama ukivyosema mkuu hizo ni conspiracy tu hazina ukweli. Series ya dark nimeitazama 7months ago haihusiani na masuala ya Yesu
 
Logic muda wote ipo sahihi because it is the correct and systematic reasoning of something. Labda ungetumia neno jingine kuuliza swali lako.
Nikweli, nilikosea kuandika ilitakiwa niandike kuna ukweli kwenye Theory hii??? Na sio logic
 
Mkuu wazungu walipokuja moshi walifikia rombo kutokana na mazingira na miaka hiyo old moshi ndio ilikua mjini ila kote huko hakuna Cathedral, see kigezo sio mji umepanuka wapi balj waliangalia wapi ndio katikati ya mji.
Wengi walijenga karibu na makanisa ambako shule, hosipitali na sala zilipatikana kwa wakati huo, hapo Rombo kanisa liko nje ya mji wa Rombo? Dar, kanisa la Mt. Yosefu liko katikati ya jiji? Hapana.
 
Makao makuu kuwa katikati ya Miji sababu kubwa ni kuwa:- hayo yalikuwa makanisa Mama, na wakati wa uanzishwaji wake uliangalia maeneo yaliyo na wakazi.

Hivyo, kuwa katikati ilikuwa kuweka uwiano sawa wa umbali (distance) kwa wakazi wanao zunguka eneo lilipo kanisa.

Mfano, St Peter, isingejengwa Magomen wakati wakazi wengi walikuwa maeneo ya kuzunguka posta! na wakati huo Kanisa lilitafuta aneo ambalo itakuwa rahisi kufikika kwa kila muumini!

Hivyo kuwa katikati, ilikuwa kubalance umbali sawa kwa waumini wanaozunguka eneo husika.

Mengine ni dhana tu tunazojijengea katika akili na mawazo yetu katika kutafiti na kuhoji, ikiwa ni sehemu ya uwezo tuliyopewa na Mungu Baba.
 
Nitalifuatilia hili la rombo, moshi na old moshi...
Kuna vigezo vingi vinavyo determine location ya mji/jiji (city center). Zipo ishu za hali ya hewa, idadi ya watu, topography n.k. so mkuu nadhani pia hao missionaries wali consider hivyo vitu kabla ya kujenge hayo makanisa.
Sawa Inawezekana waliconsider wingi wa watu wa eneo lakini Inawezekana pia kigezo cha kua katikati kilitumika pia.
The most likely reason ni demographics. Isingekuwa rahisi kujenga kanisa kubwa sehemu ambayo pana wakazi wachache. So still naimani kuwa sababu sio kuwa walijua ndio katikati ya mji 'geometrically' bali ni sababu za ki demography na geography.
Thanks kwa mawazo mbadala
 
Mkuu namaanisha Exactly center of the city, yaani pale ambapo vipimo vinaonyesha kwamba hapa nikiyovu/ kati ya mji. Mimi najua kwa makanisa tu misikiti mnieleze
Acha sound mzee, ulipimaje ukajua hapo ndio centre?
 
The earth has no center on its surface, it is just around like sphere but not 100%, for that fact anywhere on earth can be center of the earth relative to accepted condion eg spinning/rotation, imaginary line(latitude and long gude),sun rise and set
, compass direction and so forth.
Rember the geogeaph of location of the earth is man made just for the sake of communication, otherwise the earth is judt sleeping landmass which has nothing to do with our definition!
Acvording to your perception those areas are at the center nut according to me it is not.
The same analogy can be used to define God.
If you study the theory of relativity(By Einstein) and understand it, you can conlude that most of the information are wrong !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…